Results for aikana translation from Finnish to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Finnish

Swahili

Info

Finnish

aikana

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Finnish

Swahili

Info

Finnish

ja kaikki kansa oli suitsuttamisen aikana ulkopuolella rukoilemassa.

Swahili

watu, umati mkubwa, walikuwa wamekusanyika nje wanasali wakati huo wa kufukiza ubani.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Finnish

samoin on nyt tänäkin aikana olemassa jäännös armon valinnan mukaan.

Swahili

basi, ndivyo ilivyo pia wakati huu wa sasa: ipo idadi ya waliobaki ambao mungu aliwateua kwa sababu ya neema yake.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Finnish

niin juutalaiset etsivät häntä juhlan aikana ja sanoivat: "missä hän on?"

Swahili

viongozi wa wayahudi walikuwa wanamtafuta kwenye sikukuu hiyo; wakauliza: "yuko wapi?"

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Finnish

jotka jumalan voimasta uskon kautta varjellutte pelastukseen, joka on valmis ilmoitettavaksi viimeisenä aikana.

Swahili

hizo zitakuwa zenu ninyi ambao kwa imani mnalindwa salama kwa nguvu ya mungu kwa ajili ya wokovu ambao uko tayari kufunuliwa mwishoni mwa nyakati.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Finnish

mutta he sanoivat: "ei juhlan aikana, ettei syntyisi meteliä kansassa".

Swahili

lakini wakaamua jambo hilo lisifanyike wakati wa sikukuu, kusije kukatokea ghasia kati ya watu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Finnish

kun jeesus oli syntynyt juudean beetlehemissä kuningas herodeksen aikana, niin katso, tietäjiä tuli itäisiltä mailta jerusalemiin,

Swahili

yesu alizaliwa mjini bethlehemu, mkoani yudea, wakati herode alipokuwa mfalme. punde tu baada ya kuzaliwa kwake, wataalamu wa nyota kutoka mashariki walifika yerusalemu,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Finnish

sanoen teille: "viimeisenä aikana tulee pilkkaajia, jotka vaeltavat jumalattomuutensa himojen mukaan".

Swahili

waliwaambieni: "siku za mwisho zitakapofika, watatokea watu watakaowadhihaki ninyi, watu wafuatao tamaa zao mbaya."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Finnish

ja joille hän myös kärsimisensä jälkeen moninaisten epäämättömien todistusten kautta osoitti elävänsä, ilmestyen heille neljänkymmenen päivän aikana ja puhuen jumalan valtakunnasta.

Swahili

kwa muda wa siku arobaini baada ya kifo chake aliwatokea mara nyingi kwa namna ambazo zilithibitisha kabisa kwamba alikuwa hai. walimwona, naye aliongea nao juu ya ufalme wa mungu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Finnish

mutta kun hän oli jerusalemissa pääsiäisenä, juhlan aikana, uskoivat monet hänen nimeensä, nähdessään hänen tunnustekonsa, jotka hän teki.

Swahili

yesu alipokuwa yerusalemu kwa sikukuu ya pasaka, watu wengi walimwamini walipoona ishara alizozifanya.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Finnish

ja monta pitalista miestä oli israelissa profeetta elisan aikana, eikä kukaan heistä tullut puhdistetuksi, vaan ainoastaan naiman, syyrialainen."

Swahili

tena, katika nchi ya israeli nyakati za elisha kulikuwa na wenye ukoma wengi. hata hivyo, hakuna yeyote aliyetakaswa ila tu naamani, mwenyeji wa siria."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Finnish

aika

Swahili

wakati

Last Update: 2013-04-13
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
7,777,252,156 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK