From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
les étudiants se préparent pour la nuit.
wanafunzi wanajiandaa kwa mkesha.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
des conteneurs pour loger les étudiants européens
ubunifu: makontena yatumika kama hosteli za wanafunzi wa vyuo vikuu ulaya
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
avertissement demandant aux étudiants d'être prudents en australie
onyo linawataka wanafunzi wawe waangalifu wanapokuwa australia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
les agressions d'étudiants montrent la rude réalité du racisme
kupigwa kwa wanafunzi kwafundisha masomo makali kuhusu ubaguzi wa rangi
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
maroc : les étudiants réclament une réforme de l'enseignement
morocco: wanafunzi wadai marekebisho kwenye mfumo wa elimu
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
les vénézuéliens de sydney apportent leur solidarité aux défilés des étudiants.
wavenezuela jijini sydney walionyesha mshikamano wao kuunga mkono maandamano ya wanafunzi
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
les étudiants dans l'avenue bolivar marchant vers la place bolivar
wanafunzi katika mtaa wa bolívar wakitembea kuelekea kweye viwanja vya bolivar maarufu kama bolivar square
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
35 manifestants, pour la plupart des étudiants, et 1 policier ont été tués.
waandamanaji 35, wengi wao wakiwa wanafunzi na polisi mmoja waliuawa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
des étudiants africains de pékin organisent une veillée pour les victimes kényanes de garissa
maisha ya wakenya yana thamani, wanafunzi wa kiafrika wasema kwenye ibada ya kuwaombea wahanga wa garissa jijini beijing
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
a bukavu aussi, les étudiants ont été au premier rang des manifestations organisées hier.
mjini bukavu, hali kadhalika, wanafunzi wa chuo kikuu walikuwa mstari wa mbele kwenye maandamano yaliyoandaliwa jana.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
les manifestations menées et organisées majoritairement par les étudiants se poursuivent dans de nombreuses villes vénézuéliennes.
katika majiji mbalimbali nchini venezuela maandamano yanayoongozwa na yaliyoandaliwa kwa kiasi kikubwa na wanafunzi hayajakoma.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@arthurnakkaka (il y a 18 heures) : les étudiants hurlent et courent.
@arthurnakkaka (masaa 18 yaliyopita): wanafunzi wanapiga mayowe na kukimbia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
près de 70 étudiants africains se réunissent à l'une des entrées du parc pour participer à la veillée.
wanafunzi wapatao 70 wa kiafrika walikusanyika karibu na lango la bustani hiyo kuhudhuria ibada hiyo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
en 2008, la ville de shanghai a enregistré 23 tentatives de suicide chez les étudiants, dont 19 sont morts.
katika jiji la shanghai mwaka 2008, kulikuwa na majaribio 23 ya wanafunzi wa vyuo vikuu kujiua ambayo yalisababisha vifo 19.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
il y a de nombreuses chaises vides dans les universités iraniennes. elles étaient occupées par des étudiants qui se sont volatilisés.
viti kadhaa vilivyo wazi katika vyuo vikuu vya iran vilikaliwa rasmi na wanafunzi ambao hivi sasa wametoweka.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
chine : encore un suicide dans l'élite des étudiants - l'histoire de yang yuanyuan
china: kujitoa uhai kwa msomi mwingine tena - kisa cha yang yuanyuan
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
des étudiants de manx, langue indigène de l'île de man, utilisent une application pour smartphone et tablette pour se perfectionner.
wanafunzi wa manx, lugha ya wenyeji wa kisiwa cha man, wanatumia visaidizi (apps) za simu za kisasa kuboresha ufanisi wao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
il avait participé l'an dernier à une grève de la faim de 56 jours avec quatre autres étudiants réclamant leur droit de reprendre leurs cours.
mwaka jana alishiriki katika mgomo wa kula uliodumu kwa muda wa siku 56 akiwa na wanafunzi wengine wanne wakidai haki ya kurejeshwa shuleni.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
au danemark, en allemagne, en france et en espagne, plusieurs universités ont choisi de transformer des conteneurs en chambres d'étudiants.
ili kuondoa uhaba wa hosteli kwa ajili ya wanafunzi unaovikabili vyuo vikuu barani ulaya, baadhi ya vyuo vikuu nchini denmaki, ujerumani, ufaransa (le havre) na uhispania vimejaribu kubadili makontena na kuyafanya yawe hosteli za wanafunzi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@franmen: le président piñera pourrait donner aux étudiants et mapuches stigmatisés le même soutien qu'il offre à la police.
@franmen: rais piñera angeweza kuwasaidia wanafunzi walioshutumiwa pamoja na mapuche kama anavyowasaidia polisi
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: