Results for achat translation from French to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

French

Swahili

Info

French

achat

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

French

Swahili

Info

French

les aides gouvernementales ont rendus leur achat plus facile.

Swahili

ruzuku za serikali zimefanya vituo hivyo kuwa na gharama nafuu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

la première doléance concerne le faible pouvoir d'achat des fonctionnaires.

Swahili

tatizo la kwanza lililoorodheshwa lilikuwa uwezo mdogo wa kufanya manunuzi miongoni mwa watumishi wa umma.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

c'est pourquoi les gouvernements zambiens successifs ont gardé un oeil attentif sur la culture, la récolte, l'achat et la vente de farine de maïs aux consommateurs.

Swahili

hii ndiyo sababu serikali zilizowahi kutawala nchi ya zambia zimekuwa zikiweka mkazo mkubwa kwenye kulima, kuvuna, kununua na kuuza mahindi kwa walaji.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

comme on peut le lire dans un article du hangyoreh , les organisations défendant les droits de la femme et particulièrement les jeunes femmes célibataires ont critiqué cette décision qui rend l'achat de moyens contraceptifs conventionnels de plus en plus difficile.

Swahili

kama ilivyokaririwa katika gazeti la hangyoreh mashirika ya kutetea haki za wanawake na haswa wanawake vijana ambao hawajaolewa, yamekwishapinga uamuzi huu kwa kuwa gharama za dawa za kuzuia mimba zilizopendekezwa haziendani na hali halisi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

après le débat sur les achats douteux des fils de l'ancien président banda avant les élections, le fils du nouveau président mulenga sata est à son tour au centre d'une controverse suite aux révélations du directeur exécutif du comité des citoyens, gregory chifire : il a récemment acquis deux véhicules coûteux d'une valeur de 1,8 milliards de kwacha zambiens (environ 200.000 dollars).

Swahili

wakati mtoto wa rais wa zamani banda akiendelea kuchunguzwa kwa manunuzi yenye utata kabla ya uchaguzi, mtoto wa rais mpya mulenga sata, naye yu katikati ya utata mkubwa kufuatia habari zilizoibuliwa na mkurugenzi mtendaji wa asasi ya kiraia iitwayo committee of citizens, gregory chifire kwamba katika siku za hivi karibuni (mulenga) alijipatia magari ya bei mbaya yenye thamani ya kwacha za zambia zipatazo bilioni 1.8 (sawa na dola za kimarekani 200,000).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,739,313,097 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK