From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
l'open society institute nous a généreusement octroyé quelques fonds pour faire venir en avion quelques blogueurs de différentes parties du monde.
taasisi ya jamii wazi kwa ukarimu ilitufadhili fedha kiasi ili kuwasafirisha wanablogu kutoka sehemu mbalimbali duniani.
assez de "on sait ce que c'est" au sujet des controverses sur l'avion malaisien abattu.
kuna namna nyingi "kujua mtu anavyojisikia," ukifuatilia matamshi yanayotolewa baada ya kutunguliwa kwa ndege ya malaysia.
le premier ministre malaisien, najib razak, a assuré à ses électeurs que ceux qui ont tiré sur l'avion seraient traduits en justice.
waziri mkuu wa malaysia najib razak aliwahakikishia wananchi wake kwamba wale waliohusika kuitungua ndege hiyo watapelekwa kwenye mkono wa sheria:
avec de nombreux vols annulés, avertissements émis et restrictions imposées, prendre l’avion au temps du coronavirus peut s’avérer difficile.
ndege nyingi zikiwa zimeghairishwa, maonyo kutolewa, na vikwazo kuwekwa, kusafiri kwa ndege wakati huu wa virusi vya korona kuna changamoto.
je ne me souviens pas que de questions pareilles aient été posées quand l'avion d'air france a disparu l'été dernier.
sikumbuki maswali kama hayo kuulizwa bada ya kuanguka kwa ndege ya shirika la ndege la ufaransa, air france kiangazi kilichopita.
une correspondance dans une zone touchée peut entraîner des restrictions d’entrée ultérieurement et, si vous avez récemment été dans une zone touchée, certains pays ne vous laisseront même pas changer d’avion.
kuunganisha safari katika eneo lililoathirika kunaweza kusababisha vikwazo vya kuingia baadaye, na kama umekuwa katika eneo lililoathirika hivi karibuni baadhi ya nchi hazitakuruhusu ubadilishe ndege.