Results for bethléhem translation from French to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

French

Swahili

Info

French

bethléhem

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

French

Swahili

Info

French

noël à bethléhem

Swahili

ni sikukuu ya kuzaliwa kristo (noeli) mjini betlehemu

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

les lumières de l'arbre de noël à bethléhem.

Swahili

mwanga wa mti wa krismasi mjini betlehemu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

maath musleh montre les rues illuminées de bethléhem, en prévision de noël :

Swahili

na maath musleh aweka mtandaoni picha zinavyoonesha jinsi mitaa ya bethlehemu ilivyoangazwa katika maandalizi ya sikuu ya kuzaliwa kristo:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

illumination des rues de bethléhem pour noël, twitte @maathmusleh, qui partage cette image sur twitter

Swahili

mitaa ya betlehemu inavyoangazwa kwa mwanga wa taa za krismasi, anatwiti @maathmusleh, ambaye aliweka picha hii katika mtandao wa twita

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

magnifique illumination de l'arbre de noël à bethléhem, commente @laurenbohn sur twitter sous cette photo

Swahili

mwanga mzuri wa mti wa krismasi mjini betlehemu, maoni @laurenbohn katika twita, wakati akiweka mtandaoni picha hii

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

le journaliste israélien joseph dana était à bethléhem pour voir les illuminations de l'arbre de noël et il partage cette photo :

Swahili

mwanahabari wa israeli joseph dana alikuwa betlehemu kuangalia mwanga wa miti ya krismasi na alipakia mtandaoni picha ifuatayo:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

c'est noël à bethléhem, où jésus-christ est né, en palestine, aujourd'hui en cisjordanie.

Swahili

ni sikukuu ya kuzaliwa kristo mjini betlehemu, katika ukanda wa magharibi, palestina, mahali alipozaliwa kristo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

les manifestations se multiplient dans les territoires palestiniens, en particulier dans les principales villes de cisjordanie : hébron, ramallah, bethléhem et naplouse.

Swahili

maandamano yanazidi kushamiri katika nchi ya palestina hususani katika majiji ya ukanda wa magharibi ambayo ni: hebron, ramallah, bethlehem na nablus.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

et toi, bethléhem, terre de juda, tu n`es certes pas la moindre entre les principales villes de juda, car de toi sortira un chef qui paîtra israël, mon peuple.

Swahili

ewe bethlehemu katika nchi ya yuda, kwa vyovyote wewe si mdogo kabisa kati ya viongozi wa yuda; maana kwako atatokea kiongozi atakayewaongoza watu wangu, israeli."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

French

alors hérode, voyant qu`il avait été joué par les mages, se mit dans une grande colère, et il envoya tuer tous les enfants de deux ans et au-dessous qui étaient à bethléhem et dans tout son territoire, selon la date dont il s`était soigneusement enquis auprès des mages.

Swahili

herode alipogundua kwamba wale wataalamu wa nyota walikuwa wamemhadaa, alikasirika sana. akaamuru watoto wote wa kiume mjini bethlehemu na kandokando yake wenye umri wa miaka miwili na chini yake wauawe. alifanya hivyo kufuatana na muda aliopata kujua kutoka kwa wale wataalamu wa nyota.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,794,999,749 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK