Results for crois translation from French to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

French

Swahili

Info

French

crois.

Swahili

amini!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

French

j'y crois

Swahili

imani

Last Update: 2014-05-14
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

tu crois je rigole

Swahili

nipe maji

Last Update: 2021-10-26
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

je crois que vous avez tout faux sur kibuule.

Swahili

nilijua kuwa kibuule ni kichekesho

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

continue à lutter pour ce à quoi tu crois.

Swahili

endelea kukipigania kile unachokiamini.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

“oui, je crois que tu me l'as dit.

Swahili

"naam, nafikiri ulishaniambia."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

French

je ne crois pas qu'il va y avoir des élections.

Swahili

sidhani kama kutakuwa na uchaguzi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

crois au seigneur jésus et tu seras sauvé toi ta famille

Swahili

mwamini bwana yesu na utaokoka.

Last Update: 2023-07-10
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

mais ce que je crois, c'est au simple bordel soviétique.

Swahili

lkaini ninaamini kuwa usoviet ina matatizo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

je ne crois pas que les gouvernements arabes aient de bonnes intentions.

Swahili

sababu ni kwamba siamini kuwa serikali za kiarabu zina nia njema.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

[mais] je crois en votre seigneur. ecoutez-moi donc».

Swahili

hakika mimi nimemuamini mola wenu mlezi, basi nisikilizeni!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

je crois qu'il doit y avoir un changement dans les idées et les attitudes.

Swahili

chishala aliandika kile alichofikiri ni suluhisho la kwenda mbele kwa taifa la zambia: ninaamini kwamba kumekuwepo mabadiliko ya mawazo na mtazamo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

je travaille depuis si longtamps au coeur même des nouvelles retentissantes que je ne crois absolument pas aux théories du complot.

Swahili

kw amuda mrefu nimekuwa nikifanyia kazi taarifa kadhaa za habari zinazotokea, na nimehitimisha kuwa siamini kabisa namna watu wanavyojaribu kuunganisha matukio kujengea hoja imani zao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

mais ça, je crois pas, c'est juste des menteries d'anticommunistes primaires et malveillants.

Swahili

lakini katu mimi siamini hilo; huo ni uwongo wa watu wabaya na wapinga ukomunisti wasiostaarabika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

je crois que lorsque les enfants sont reliés à leurs racines et à leur communauté historiques, cela crée un espace où ils sont en sécurité.

Swahili

nadhani wakati ambapo watoto wameunganishwa na historia ya asili yao na ya jamii yao, hiyo huwatengenezea nafasi salama kwao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

et tu verras les montagnes - tu les crois figées - alors qu'elles passent comme des nuages.

Swahili

na unaiona milima unaidhunia imetulia; nayo inakwenda kama mwendo wa mawingu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

il se pourrait que l'accent de meena a frappé mon esprit et je crois que ce sentiment m'aide dans mon travail de doublage.

Swahili

labda mtazamo wa meena ulinikaa zana akili mwangu tangu awali na ndio maana ninaamini hisia hizi ndizo zilizonisaidia kumtangaza meena.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

de temps en temps il pouvait se montrer têtu et rebelle, mais ce sont des personnes comme lui qui rendent les choses d'autant plus intéressantes, je crois.

Swahili

mara kwa mara, alikuwa mkaidi na mwasi kidogo, lakini ni aina hii ya mtu inayofanya mambo yote kuvutia zaidi, nadhani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

montre-moi comment tu ressuscites les morts», allah dit: «ne crois-tu pas encore?»

Swahili

nionyeshe vipi unavyo fufua wafu. mwenyezi mungu akasema: kwani huamini?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

en parlant comme son fils, toutefois, je voudrais ajouter que personnellement je crois que par son dévouement et son sacrifice personnel elle est devenu un symbole à travers lequel on peut reconnaitre la situation critique de tout le peuple de la birmanie.

Swahili

nikizungumza kama mtoto wake, ningependa kuongeza kwamba mimi binafsi naamini kwamba kwa kujitolea kwake na kutoa sadaka yake binafsi, ametokea kuwa alama yenye thamani ambapo kupitia kwake, mateso ya watu wote wa burma yametambulika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,645,389,090 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK