Results for diaspora translation from French to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

French

Swahili

Info

French

diaspora

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

French

Swahili

Info

French

twobmad fait état des difficultés rencontrées par la diaspora birmane à l'étranger:

Swahili

twobmad alizitaja changamoto anazokabiliana nazo mtu pale anaposhughulikia majina ya watu wa myanmar:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

le rôle de la diaspora dans le développement de madagascar a déjà été abordé dans la blogosphère malgache.

Swahili

dhima ya wamadagascar walio nchi za mbali kwa maendeleo ya nchi yao imewahi kujadiliwa hapo kabla katika ulimwengu wa wanablogu wa madagascar.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

bloguons nous pour la diaspora et le vaste monde, coupé de nos contemporains sur le continent ?

Swahili

@iamqueennzinga: it's about time we ushered in the era of afro-optimism through words and action

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

les camerounais d'ici et de la diaspora ont réagi sur la blogosphère aux mots prononcés par le dirigeant américain d'origine africaine.

Swahili

wakameruni wa nyumbani na wale wa ughaibuni wamekuwa wakijadili maneno yaliyotamkwa na kiongozi wa marekani mwenye asili ya afrika kwa kupitia ulimwengu wa blogu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

depuis l'année 2003, il a œuvré pour le pardon, la réconciliation et l'unité dans la diaspora rwandaise en europe.

Swahili

tangu mwaka 2003, amekuwa akifanya kazi za kuhamasisha watu kusameheana, kuridhiana na kuungana hususana kwa raia wa nchi hiyo waishio ughaibuni barani ulaya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

pour les nigérians de la diaspora ou les internautes nigerians dans leur ensemble qui n'auront pas la possibilité de voter, ce portail internet a été mis au point pour que ceux voulant voter pour le candidat de leur choix lors des élections du nigeria en avril 2011 puissent le faire.

Swahili

kwa wa-naijeria waiishio nje ya nchi ama wa-naijeria wanaotumia mtandao kwa ujumla ambao hawatakuwa na fursa ya kupiga kura, kikusanya habari hiki cha mtandaoni kimepangiliwa kuyaruhusu makundi kupiga kura kwa ajili ya mgombea urais aliye chaguo lao katika uchaguzi wa naijeria mwezi aprili 2011.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

"nous voulions connaître le point de vue des citoyens somaliens moyens pour nous dire comment les crises les ont affectés, eux et la diaspora somalienne", a déclaré soud hyder d'al jazeera dans une interview.

Swahili

“tulitaka tupate mitizamo ya raia wa kawaida wa somalia ili kwamba ituambie jinsi ambavyo mgogoro ulivyowaathiri wao pamoja na wasomali walio ighaibuni,” soud hyder wa al jazeera alisema katika mahojiano.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,781,185,777 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK