From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
jésus dit à ses disciples: je vous le dis en vérité, un riche entrera difficilement dans le royaume des cieux.
hapo yesu akawaambia wanafunzi wake, "kweli nawaambieni, itakuwa vigumu sana kwa tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
le bon pays, sa végétation pousse avec la grâce de son seigneur; quant au mauvais pays, (sa végétation) ne sort qu'insuffisamment et difficilement.
na ardhi njema, yenye udongo wa rutba, hutoa mimea yenye kukua vizuri yenye uhai, kwa idhini ya mola mlezi wake. na ardhi mbaya haitoi ila mimea michache, isiyo na faida, tena kwa shida.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: