Results for expriment translation from French to Swahili

French

Translate

expriment

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

French

Swahili

Info

French

les ougandais expriment aussi leur inquiétude sur twitter :

Swahili

waganda walio kwenye twita nao pia wana hofu:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

vidéos : les jeunes du monde entier s'expriment en 60 secondes

Swahili

video: vijana duniani kote wajieleza kwa sekunde 60

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

les participants du groupe facebook public "this is kiev, baby" expriment leur mécontentement.

Swahili

watumiaji wa kundi wazi la mtandao wa facebook liitwalo "hii ndiyo kiev, mwana" wamesikitishwa na hatua hiyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

French

le temps où les gens s'expriment librement et peuvent être entendus n'importe où dans le monde.

Swahili

wakati kwa watu kujieleza kwa uhuru na kusikilizwa kutoka kokote duniani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

sur les réseaux sociaux, les internautes expriment leur indignation devant les catastrophes à répétition qui touchent les usines de fabrication de vêtements.

Swahili

watumiaji wa mtandao wameonesha katika mitandao ya kijamii hali ya kufedheheshwa kufuatia matukio haya yanayojirudiarudia katika viwanda vya nguo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

la plupart des tweets expriment un sentiment de nostalgie, de désespoir et de mécontentement total pour la manière dont le pays est dirigé depuis sa mort.

Swahili

twiti nyingi zimejaa mchanganyiko wa hisia, kukata tamaa na kutokuridhishwa na namna nchi inavyoendeshwa tangu afariki dunia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

vision 2030 restera un mirage à l'horizon si les kenyans ne s'expriment pas collectivement sur la corruption et ne s'engagent pas dans la lutte contre ce fléau.

Swahili

vision 2030 itabaki kuwa mazigazi kama wakenya hawatashirikiana kupigana na ufisadi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

dans les commentaires de nombreuses personnes expriment leurs inquiétudes à propos des membres de leur famille vivant hors de la capitale. le manque de communication est un problème majeur pour ceux qui tentent de contacter famille et amis dans des régions où l’électricité et les lignes téléphonique ont été coupées.

Swahili

maoni mengi yamekuwa ni ya hofu juu ya wanafamilia walio kwenye maeneo ya nje ya mji mkuu, na ukosefu wa mawasiliano umeendelea kuwa suala gumu kwa ndugu wanaojaribu kuwasiliana na familia pamoja na marafiki katika sehemu ambazo nyaya za umeme na simu zimeathirika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

bien que le sars-cov-2 présente un tropisme pour les cellules épithéliales des voies respiratoires qui expriment l’ace-2, les patients atteints de la covid-19 sévère présentent des symptômes d’hyperinflammation systémique.

Swahili

ingawa sars-cov 2 ina ukuaji wa ace-2 inayoonyesha seli zinazonyoosha nyuso za mwili wako katika mfumo wa kupumua, wagonjwa wenye covid-19 kali wana dalili za systemic hypainflammation.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,941,878,223 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK