Results for geôlier translation from French to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

French

Swahili

Info

French

geôlier

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

French

Swahili

Info

French

quand il fit jour, les préteurs envoyèrent les licteurs pour dire au geôlier: relâche ces hommes.

Swahili

kesho yake asubuhi, mahakimu waliwatuma maofisa wao wakisema, "wafungueni wale watu."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

French

le geôlier, ayant reçu cet ordre, les jeta dans la prison intérieure, et leur mit les ceps aux pieds.

Swahili

kutokana na maagizo hayo, huyo askari aliwaweka katika chumba cha ndani kabisa cha gereza na kuifunga miguu yao kwenye nguzo.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

French

après qu`on les eut chargés de coups, ils les jetèrent en prison, en recommandant au geôlier de les garder sûrement.

Swahili

baada ya kupigwa sana wakatiwa ndani, na askari wa gereza akaamriwa kuwaweka chini ya ulinzi mkali.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

French

alors le geôlier, ayant demandé de la lumière, entra précipitamment, et se jeta tout tremblant aux pieds de paul et de silas;

Swahili

baada ya kumwita mtu alete taa, huyo askari wa gereza alikimbilia ndani, akajitupa mbele ya miguu ya paulo na sila huku akitetemeka kwa hofu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

French

et le geôlier annonça la chose à paul: les préteurs ont envoyé dire qu`on vous relâchât; maintenant donc sortez, et allez en paix.

Swahili

yule askari wa gereza alimpasha habari paulo: "mahakimu wametuma ujumbe ili mfunguliwe. sasa mnaweza kutoka na kwenda zenu kwa amani."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

French

le geôlier se réveilla, et, lorsqu`il vit les portes de la prison ouvertes, il tira son épée et allait se tuer, pensant que les prisonniers s`étaient enfuis.

Swahili

askari wa gereza alipoamka na kuiona milango ya gereza imefunguliwa, alidhani kwamba wafungwa wote walikuwa wametoroka na hivyo akauchomoa upanga wake, akataka kujiua.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

French

a nos geôliers qui nous ont soumis à ces épreuves, même s'ils n'attendent pas notre pardon, le voilà.

Swahili

kwa wale waliotufunga gerezani na ambao walitusababishia madhila haya, hata kama hautuombi msamaha, sisi hatuna kinyongo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,788,280,646 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK