Results for habitants translation from French to Swahili

French

Translate

habitants

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

French

Swahili

Info

French

les habitants de la ville sont donc allés tôt au lit.

Swahili

kwa hiyo, jiji lilijikuta katika hali ya wasiwasi mkubwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

puis tu demeuras des années durant chez les habitants de madyan.

Swahili

ukakaa miaka kwa watu wa madyana.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

French

a penang, malaisie, le brouillard a affecté de nombreux habitants.

Swahili

huko penang, vumbi hilo liliathiri wakazi wengi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

cela a créé une véritable confusion parmi les habitants voulant enterrer les cadavres.

Swahili

kwa hakika, ilisababishaindeed, it created helter-skelter kati ya wakazi kuzika miili ya watu waliofariki.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

et les habitants d'al-aïka étaient [aussi] des injustes.

Swahili

na hakika watu wa kichakani walikuwa wenye kudhulumu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

French

les habitants de jéricho se sont fait tomber les murs dessus pour échapper au bruit !

Swahili

watu wa yeriko walijiangushia kuta wenyewe ili kuzikimbia zile kelele!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

il semble que cet arbre ne soit pas le seul à avoir sauvé de certains habitants du village.

Swahili

walionusurika wanasema kwamba kulikuwa pia na majoka makubwa yaliyokuwa yakitafuta hifadhi kwenye mti huo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

de nombreux habitants de wuhan et du hubei ont signalé une discrimination reposant sur leur origine régionale.

Swahili

wakazi wengi wa wuhan na hubei wameripoti ubaguzi kulingana na eneo wanaotoka.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

French

et les habitants de la ville (sodome) vinrent [à lui] dans la joie.

Swahili

na wakaja watu wa mji ule nao furahani.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

French

le mexique a le nombre de kinappings le plus élevé au monde par rapport au nombre d'habitants.

Swahili

meksiko ina wastani wa juu zaidi wa utekaji ikilinganishwa na nchi yoyote ile duniani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

avant l'arrestation de rimsha, les habitants du quartier ont bloqué une grande artère de la capitale.

Swahili

kabla ya msichana huyu kuwekwa kizuizini, baadhi ya wakazi wa mtaa anaoishi msichana huyu walizuia barabara kuu ya jiji .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

c'est bien un stratagème que vous avez manigancé dans la ville, afin d'en faire partir ses habitants.

Swahili

hizi ni njama mlizo panga mjini mpate kuwatoa wenyewe.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

French

du soutien a été apporté aux chinois, que ce soit en ligne ou hors ligne, et envers les habitants des zones touchées par le virus.

Swahili

kumekuwa na kuunga mikono wachina, mtandaoni na nje, na kwa wale walio katika maeneo yaliyoathiriwa na virusi.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

French

après avoir survécu aux inondations meurtrières du mois de septembre, les habitants de barangay bagong silangan doivent tout reconstruire, leurs maisons et leurs vies.

Swahili

baada ya kunusurika na mafuriko mabaya ya mwezi septemba, wakazi wa barangay bagong silangan wanakabiliwa na changamoto kubwa zaidi: kujenga upya nyumba zao na maisha yao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

les habitants de taïwan sont devenus conscients de la fragilité de leurs droits face aux projets de rénovation urbaine après l'expulsion scandaleuse de la famille wang.

Swahili

kitendo cha kinyama cha kufukuzwa kwa familia ya wang kilichofanywa na serikali ya jiji la taipei kiliuonyesha wazi umma jinsi haki za raia zilivyo tete mbele ya mradi wa ufufuaji miji.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

certains habitants sont même forcés de quitter leur domicile, comme le raconte le blogueur salvadorien miguel angel alvarado en expliquant que la résidence présidentielle a dû être déplacée à cause de la désertification:

Swahili

watu wanalazimika kuhamia maeneo mengine ya mbali na nyumbani kwao, kama anavyoeleza mwanablogu miguel angel alvarado anayetokea el salvador kuhusu mpango wa kuhamisha makazi ya rais kwa sababu ya ueneaji jangwa:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

comme les autres habitants de jakarta qui sont habitués à 'attendre dans les embouteillages, j'ai tendance à être paniquée si les rues sont calmes et abandonnés.

Swahili

kama mkazi wa jakarta niliyozoea kukwama kwenye foleni za magari, huwa nafadhaika kama barabara zikiwa tulivu na zenye watu pungufu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

elle exerçait toute l`autorité de la première bête en sa présence, et elle faisait que la terre et ses habitants adoraient la première bête, dont la blessure mortelle avait été guérie.

Swahili

alikuwa na mamlaka kamili kutoka kwa yule mnyama wa kwanza, na akautumia uwezo huo mbele ya huyo mnyama. akailazimisha dunia yote na wote waliomo humo kumwabudu huyo mnyama wa kwanza ambaye alikuwa na jeraha la kifo lililokuwa limepona.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

French

et quand nos anges apportèrent à abraham la bonne annonce, ils dirent: «nous allons anéantir les habitants de cette cité car ses habitants sont injustes».

Swahili

na wajumbe wetu walipo mjia ibrahim na bishara, walisema: hakika sisi hapana shaka tutawahiliki watu wa mji huu, kwani watu wake hakika wamekuwa madhaalimu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

French

au cours des 20 dernières années, la population de l'ukraine a diminué de 5 millions (passant de 52 à 47 millions d'habitants).

Swahili

kwa kipindi cha miaka 20 iliyopita, sensa ya watu nchini ukraine ilionyesha kupungua kwa watu milioni tano (kutoka watu milioni 52 hadi milioni 47).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,953,184,449 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK