Results for ignorer translation from French to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

French

Swahili

Info

French

ignorer

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

French

Swahili

Info

French

nous ne pouvons ignorer l'importance des usa dans la situation actuelle de l'iran.

Swahili

hatuwezi kudharau umuhimu wa marekani katika hali ya sasa ya irani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

les gouvernements du sud-est asiatique peuvent toujours ignorer ces critiques mais ils y perdent également leur crédibilité.

Swahili

serikali zinaweza kuwapuuzia wakosoaji wenye kelele nyingi lakini pia zinaweza kupoteza umaarufu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

ce serait suicidaire pour le président mills d'ignorer ceux qui se sont battus durement pour qu'il devienne président.

Swahili

mashabiki wa ndc wanatambua mbinu zote za npp na itakuwa ni sawa na kujimaliza kwa mills kuwapuuza wale waliopigana kwa juhudi kwa ajili yake ili awe rais.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

al jazeera, par exemple, a joué un rôle de premier plan dans le suivi des soulèvements dans plusieurs pays arabes, mais les internautes pensent que la chaîne paraît ignorer les événements actuels au soudan.

Swahili

al jazeera, kwa mfano, ilifanya wajibu wake kwa namna ya pekee katika kuripoti maandamano yaliyotokea katika nchi kadhaa za ki-arabu, lakini watumiaji wa mtandao wanasema shirika hilo linaonekana kupuuza matukio yanayoendelea nchini sudani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

malgré le succès de cette journée, on nous a critiquées sur quelques points, dont le plus important était d'ignorer les hommes, et de ne pas spécifier les sujets .

Swahili

licha ya mafanikio ya siku hiyo, bado tulikosolewa katika mambo kadhaa, kubwa zaidi likiwa ni kuwapuuzia wanaume, na kutobainisha vema mada za kujadili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

@ajstream: pourquoi le gouvernement et les médias turcs ont-ils décidé d'ignorer les grèves de la faim de 715 prisonniers politiques kurdes ?

Swahili

@ajstream: kwa nini serikali na vyombo vya habari nchini uturuki wanapuuza mgomo wa kutokula unaofanywa na wafungwa wa kisiasa wa kikurdi 715?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

@hulyaulas: la plus importante grève de la faim jamais menée par des prisonniers politiques kurdes est complètement ignorée par les médias du monde entier.

Swahili

@hulyaulas: mgomo mkubwa wa kisiasa wa kutokula katika historia kwa wafungwa wa kikurdi unapuuzwa na haupewi nafasi yoyote katika vyombo vikuu vya habari.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,783,659,064 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK