From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
en disant: tu es entré chez des incirconcis, et tu as mangé avec eux.
"wewe umekwenda kukaa na watu wasiotahiriwa na hata umekula pamoja nao!
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
puisqu`il y a un seul dieu, qui justifiera par la foi les circoncis, et par la foi les incirconcis.
mungu ni mmoja, naye atawakubali wayahudi kuwa waadilifu kwa imani yao, na watu wa mataifa mengine pia kwa imani yao.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
et le père des circoncis, qui ne sont pas seulement circoncis, mais encore qui marchent sur les traces de la foi de notre père abraham quand il était incirconcis.
vilevile yeye ni baba wa wale waliotahiriwa; lakini si kwa kuwa wametahiriwa, bali kwa sababu wanafuata njia ileile ya imani baba yetu abrahamu aliyofuata kabla ya kutahiriwa.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
si donc l`incirconcis observe les ordonnances de la loi, son incirconcision ne sera-t-elle pas tenue pour circoncision?
kama mtu wa mataifa mengine ambaye hakutahiriwa akitimiza matakwa ya sheria, hakika atafikiriwa kana kwamba ametahiriwa.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
au contraire, voyant que l`Évangile m`avait été confié pour les incirconcis, comme à pierre pour les circoncis, -
badala yake, walitambua kwamba mungu alikuwa amenituma kuhubiri habari njema kwa watu wa mataifa mengine kama vile petro alivyokuwa ametumwa kuihubiri kwa wayahudi.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
il n`y a ici ni grec ni juif, ni circoncis ni incirconcis, ni barbare ni scythe, ni esclave ni libre; mais christ est tout et en tous.
katika hali hii, hakuna tena tofauti kati ya mgiriki na myahudi, aliyetahiriwa na asiyetahiriwa, msomi na asiye msomi, mtumwa na mtu aliye huru. kristo ni kila kitu, na yumo katika yote.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
c`est pourquoi, vous autrefois païens dans la chair, appelés incirconcis par ceux qu`on appelle circoncis et qui le sont en la chair par la main de l`homme,
ninyi mlio kwa asili watu wa mataifa mengine--mnaoitwa, "wasiotahiriwa" na wayahudi ambao hujiita, "waliotahiriwa," (kwa sababu ya kile wanachoifanyia miili yao) --kumbukeni mlivyokuwa zamani.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
comment donc lui fut-elle imputée? Était-ce après, ou avant sa circoncision? il n`était pas encore circoncis, il était incirconcis.
je, abrahamu alikubaliwa kabla ya kutahiriwa ama baada ya kutahiriwa? kabla ya kutahiriwa, na si baada ya kutahiriwa.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality: