Results for interview translation from French to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

French

Swahili

Info

French

interview

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

French

Swahili

Info

French

podcast : interview du blogueur soudanais sudanese drima

Swahili

podikasti: mahojiano na sudanese drima

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

afrique des grands lacs met en ligne une traduction française de l'interview et écrit :

Swahili

afrique des grands lacs alipachika tafsiri ya kifaransa ya mahojiano hayo na anaandika:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

apparemment, le china news service a effectué une interview hier, mais finalement elle n'a pas pu être publiée.

Swahili

inasemekana shirika la habari la china lilifanya mahojiano jana, lakini mwishoni lilizuiwa kutangaza habari hizo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

cette interview aurait été convaincante si joseph pouvait citer trois ou quatre mesures phares prises pendant ses 7 ans de règne pour un bonheur congolais partagé.

Swahili

mahojiano haya yangekuwa na ushawishi kama joseph angetaja hatua tatu au nne ambazo zilitekelezwa kwa ajili ya manufaa ya wakongo katika miaka yake 7 ya kutawala.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

lisez cette interview de nyerere, menée de son vivant par ikaweba bunting, pour en savoir plus sur la vision que nyerere avait pour la tanzanie.

Swahili

unaweza kusoma mahojiano ya nyerere, aliyoyafanya na ikaweba bunting wakati akiwa hai, kujifunza zaidi kuhusu maono aliyokuwanayo nyerere kwa ajili ya tanzania.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

dans une interview accordée à inmediahk.net, elles revendiquent leur amour des animaux et font part de leur volonté de mettre un terme au massacre des éléphants en faisant entendre leur voix.

Swahili

katika mahojiano na mtandao wa inmediahk.net, wanasema wanapenda wanyama na kuwa wangependa kuwasaidia kusema ili kumaliza kuuawa kwa tembo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

l'histoire la plus intéressante de tofugu est actuellement une interview suivie à la fois sur youtube et le média social à sensation, medama-sensei.

Swahili

simulizi moja wapo la kuvutia la habari zinazoandikwa na blogu ya tofugu hivi karibuni ni mahojiano ya pili kwenye youtube na mitandao ya kijamii yaliyofanywa na medama-sensei.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

cet article ainsi que l'interview radio faite par joyce hackel pour the world ont été publiés sur pri.org le 14 janvier 2015, conformément à un accord de partage de contenu nous les republions.

Swahili

makala haya na taarifa ya redio ya joyce hackel wa kipindi cha the world yalichapishwa kwa mara ya kwanza kwenye mtandao wa pri.org mnamo januari 14, 2015 na yamechapishw atena kama sehemu ya makubaliano ya kubadilishana maudhui.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

au début de janvier, dans une interview à la télévision angolaise, l’enseignante a parlé de la situation de la guinée-bissau après la mort du président malam bacai sanhá.

Swahili

katika mahojiano na televisheni ya angola, mwanzoni mwa mwezi januari, profesa huyo alizungumzia hali ya mambo nchini guinea-bissau baada ya kifo cha rais malam bacai sanhá.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

mon père à reçu un nombre important d'appels - dont un alors que nous venions de finir l'interview avec cnn, et que nous nous parlions via la messagerie instantanée skype.

Swahili

baba yangu kapokea simu kadhaa - pamoja na ile wakati tulipokwa tunamaliza mahojiano na cnn, tulikuwa tukitumia skype.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

"nous voulions connaître le point de vue des citoyens somaliens moyens pour nous dire comment les crises les ont affectés, eux et la diaspora somalienne", a déclaré soud hyder d'al jazeera dans une interview.

Swahili

“tulitaka tupate mitizamo ya raia wa kawaida wa somalia ili kwamba ituambie jinsi ambavyo mgogoro ulivyowaathiri wao pamoja na wasomali walio ighaibuni,” soud hyder wa al jazeera alisema katika mahojiano.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,777,994,508 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK