Results for la joie translation from French to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

French

Swahili

Info

French

la joie

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

French

Swahili

Info

French

un dictateur en détention, la joie

Swahili

kusherehekea kutiwa nguvuni kwa dikteta

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

sur twitter, la joie a explosé.

Swahili

kwenye mtandao wa twita, vifijo vilitamalaki.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

tout est dans la joie fais des choses

Swahili

furaha hufanya mambo

Last Update: 2023-07-13
Usage Frequency: 1
Quality:

French

ils furent dans la joie, et ils convinrent de lui donner de l`argent.

Swahili

nao wakafurahi na kupatana naye kumlipa fedha.

Last Update: 2024-03-25
Usage Frequency: 2
Quality:

French

allah les protègera donc du mal de ce jour-là, et leur fera rencontrer la splendeur et la joie,

Swahili

basi mwenyezi mungu atawalinda na shari ya siku hiyo, na atawakutanisha na raha na furaha.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

French

de même, je vous le dis, il y a de la joie devant les anges de dieu pour un seul pécheur qui se repent.

Swahili

kadhalika nawaambieni, ndivyo watakavyofurahi malaika wa mungu kwa sababu ya mwenye dhambi mmoja anayetubu."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

French

et quand il eut dit cela, il leur montra ses mains et son côté. les disciples furent dans la joie en voyant le seigneur.

Swahili

alipokwisha sema hayo, akawaonyesha mikono yake na ubavu wake. basi, hao wanafunzi wakafurahi mno kumwona bwana.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

French

la joie qu'exprime living guyana pour ses compatriotes caribéens est un peu ternie par sa déception pour la délégation olympique de guyana.

Swahili

katikati ya kufurahia ushindi wa wazalendo wenzake kutoka karibeani, living guyana alijisikia kuwasononekea kundi la olimpiki kutoka guyana:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

heureux vous qui avez faim maintenant, car vous serez rassasiés! heureux vous qui pleurez maintenant, car vous serez dans la joie!

Swahili

heri ninyi mnaosikia njaa sasa, maana baadaye mtashiba. heri ninyi mnaolia sasa, maana baadaye mtacheka kwa furaha.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

French

car le royaume de dieu, ce n`est pas le manger et le boire, mais la justice, la paix et la joie, par le saint esprit.

Swahili

maana utawala wa mungu si shauri la kula na kunywa, bali unahusika na kuwa na uadilifu, amani na furaha iletwayo na roho mtakatifu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

French

et vous-mêmes, vous avez été mes imitateurs et ceux du seigneur, en recevant la parole au milieu de beaucoup de tribulations, avec la joie du saint esprit,

Swahili

ninyi mlifuata mfano wetu, na kumwiga bwana. ingawa mliteswa sana, mliupokea ujumbe huo kwa furaha itokayo kwa roho mtakatifu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

French

quelles actions de grâces, en effet, nous pouvons rendre à dieu à votre sujet, pour toute la joie que nous éprouvons à cause de vous, devant notre dieu!

Swahili

sasa twaweza kumshukuru mungu wetu kwa ajili yenu. tunamshukuru kwa furaha tuliyo nayo mbele yake kwa sababu yenu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

French

après l`avoir entendu, ils furent dans la joie, et promirent de lui donner de l`argent. et judas cherchait une occasion favorable pour le livrer.

Swahili

makuhani wakuu waliposikia habari hiyo, walifurahi, wakaahidi kumpa fedha. basi, yuda akaanza kutafuta nafasi ya kumsaliti yesu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

French

du côté de ceux qui soutiennent le président, les tweets montrent la joie et la satisfaction. au contraire, chez les partisans d'henrique capriles se mêlent la déception et la profonde conviction que des changements seront tout de même possibles à l'avenir.

Swahili

zilikuwepo twiti za upande wa wale wanaomwunga mkono rais, ambazo zilionyesha furaha na kuridhika, wakati wale waliokuwa wanamwunga mkono hanrique capriles walionyesha hisia zao za kusikitishwa na matokeo hayo wakati huo huo wakiwa na matumaini kwamba mambo yanaweza kubadilika kwa siku za mbeleni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,770,719,047 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK