Results for manière translation from French to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

French

Swahili

Info

French

slumdog millionaire fait ça de manière admirable.

Swahili

filamu ya slumdog millionaire imefanya vizuri sana kwenye jambo hili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

et c'est notre manière habituelle de nous amuser.

Swahili

na hapo tunazungumzia nyakati zile ambazo watu hujazana wa kiwango cha wastani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

l'initiative a été lancée de la manière suivante :

Swahili

sakata zima lilianza kama ifuatavyo:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

et nous avons expliqué toute chose d'une manière détaillée.

Swahili

na kila kitu tumekifafanua waziwazi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

French

au père de l'enfant de les nourrir et vêtir de manière convenable.

Swahili

na juu ya baba yake chakula cha kina mama, na nguo zao kwa mujibu wa ada.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

French

une manière de permettre aux deux parties de se mélanger lors de la pause de midi.

Swahili

ni njia ya makundi hayo mawili (walimu na wanafunzi) kujichanganya wakati wa mapumziko.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

ce fut précisément la manière dont elle tira sur ses cheveux qui me laissa totalement sans défense.

Swahili

namna alivyovyozirekebisha nywele zake kwa usahihi mkubwa ndiko kulikonifanya niwe mdhaifu bila kinga yoyote.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

cette situation nous concerne tous et nous sommes là pour vous aider de quelque manière que ce soit.

Swahili

tuko pamoja na tuko hapa kusaidia kwa njia yoyote tuwezayo.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

French

chaque observatoire comporte un panel de 500 ménages sur des sites choisis de manière raisonnée avec le bailleur.

Swahili

kila chombo cha uchunguzi kimetengeneza na jopo la kaya 500 katika maeneo yaliyochaguliwa kwa makubaliano na wamiliki wa ardhi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

je suis désolé de m’exprimer comme un hippie, mais c’est ma manière de voir.

Swahili

kama ninaanza kuonekana kama mtu wa siasa-za-ruksa, samahani sana, lakini hivyo ndivyo ninavyooona.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

quelle que soit la manière dont vous définissez ce travail, nous croyons que nous faisons est précieux et que cela fait une différence.

Swahili

haijalishi namna utakavyobainisha kazi hii, tunaamini kuwa kile tunachokifanya kina thamani na kinabadilisha mambo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

il y a sûrement une juste manière de se faire comprendre, en dehors des intimidations un peu trop faciles et de la condescendance maladroite.

Swahili

ni lazima pawe na njia ya kufikisha ujumbe, bila ya vitisho na kushushiana hadhi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

il enregistre de bons scores au nord comme prévu, il a mené de la meme manière dans les régions du centre et du sud".

Swahili

wakati bingu anafanya vizuri kwenye majimbo ya kaskazini kama ilivyotabiriwa, kadhalika nafanya vizuri katika majimbo ya kati na kusini.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

French

de manière générale, ce qu’il se passe là n’est pas clair. presque pas de réseau mobile accessible.

Swahili

kwa ujumla, haijulikani nini kinaendelea hapa na mtandao wa simu za mkononi unapatikana kwa shida.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

pas mal de choses m'ont déçues et mis en colère ce soir-là, mais aucun de manière aussi agressive que la vuvuzela.

Swahili

yapo mengi yaliyonikwaza na kuniudhi jioni ile, lakini hakuna kililonikera kama vuvuzela.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

ce n'est pas un coup d'etat, c'est la volonté de la nation incarnée d'une manière non conventionnelle

Swahili

haya si mapinduzi ya kijeshi, haya ni matakwa ya taifa yanayohalisishwa kwa mbinu isiyo na utata wowote

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

ce projet est mené de manière collaborative entre le département de géographie de l’université abdou moumouni de niamey, ses étudiants, open street map et rising voices.

Swahili

mradi huu unaendeshwa kwa ushirikiano na idara ya jiografia ya chuo kikuu cha abdou moumouni kilichopo niamey, wanafunzi wake, open street map, pamoja na rising voices.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

a diverses reprises, on a surpris des moines se comportant de manière violente ou se livrant à des activités répréhensibles, telles qu'avoir des relations sexuelles ou visionner de films pornographiques.

Swahili

watawa wameripotiwa kushiriki katika matukio kadhaa yaliyohusisha utumiaji nguvu au utovu wa nidhamu ikiwemo kushiriki tendo la ngono au kutazama picha na video za ngono.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

en outre, phe analysera de manière rétrospective tout échantillon virologique de grippe collecté entre le début et la mi-février 2020 pour le covid-19.

Swahili

isitoshe, phe itafanya vipimo vya sampuli zozote zilizokusanywa awali za vairolojia ya homa ya mafua zilizokusanya kati ya mapema na katikati ya mwezi februari 2020 kwa covid-19.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

French

un autre journaliste basé à delhi, raghavendra verma (@r_verma), a fait un commentaire sur la manière dont les enseignants gèrent les écoles publiques :

Swahili

mwandishi mwingine wa habari ambaye makazi yake ni delhi, raghavendra verma (@r_verma), alitoa maoni yake kuhusu namna ambavyo walimu wanavyozichukulia shule zinazomilikiwa na serikali.:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,899,678,962 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK