Results for mme translation from French to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

French

Swahili

Info

French

mme

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

French

Swahili

Info

French

mme irène fernandez est une femme et une activiste pour les droits des migrants en malaisie.

Swahili

irene fernandez ni mwanamke na mwanaharakati anayepigania haki za wahamiaji nchini malaysia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

en regardant par les yeux de son fils, nous pourrons mieux comprendre mme suu kyi comme mère:

Swahili

hapa tena, tunaweza kutumia lensi za mtoto huyu ili kupata kumwelewa vema zaidi bibi suu kyi kama mama:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

le commentaire fait allusion au nombre de "followers" de mme al joresh sur twitter.

Swahili

maoni hayo yanahusu idadi ya wafuasi alikuwa nao al joresh kwenye twita.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

French

mme al joresh critiquait sans ambages les détentions arbitraires pratiquées par le ministère saoudien de l'intérieur.

Swahili

al joresh ni mkosoaji mkubwa dhidi ya wizara ya mambo ya ndani ya saudi kwa kuwekwa watu kiholela kizuizini.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

cependant, en 1991, le fils aîné de mme suu kyi, alexander, a retiré le prix nobel pour la paix à oslo en son nom.

Swahili

hata hivyo, mnamo mwaka 1991, mtoto mkubwa wa bibi suu kyi, alexander, alipokea tuzo ya amani ya nobel huko oslo kwa niaba ya mama yake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

la présidente de l'upa, mme sonia gandhi, a félicité l'électorat pour ce nouveau mandat.

Swahili

mwenyekiti wa upa, mama sonia gandhi aliwapongeza wapiga kura kwa kuwapa dhamana hii.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

... le ministre de l'agriculture, le dr akinwunmi adesina, a rectifié l'information selon laquelle la secrétaire permanente du ministère, mme ibukun odusote, a dit que les téléphones mobiles seraient achetés par le gouvernement à 60 milliards de nairas ; il a expliqué qu'ils seraient fournis aux agriculteurs par le biais d'un partenariat entre les secteurs public et privé... dr.

Swahili

waziri wa kilimo, dk akinwunmi adesina, amesahihisha maelezo ya ripoti ya katibu mkuu wa wizara, bi ibukun odusote, iliyosema kuwa simu za mkono zingeweza kununuliwa na serikali kwa gharama ya n60 bilioni, maelezo yake ni kwamba simu za mkono zitatolewa kwa wakulima kupitia ushirikiano wa umma na sekta binafsi ...

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,772,793,327 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK