Results for profondeur translation from French to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

French

Swahili

Info

French

profondeur

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

French

Swahili

Info

French

jentilisa analyse en profondeur les discours des deux camps et met en garde contre la diffusion de rumeurs non vérifiées :

Swahili

bloga jentilisa amnatoa upembuzi wa kina wa maelezo ya opande zote mbili za siasa na anatahadharisha dhidi ya uenezaji wa uvumi usio na hakika (mg):

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

la détection d’un cas entraîne la fermeture des cabinets sur la journée pour un nettoyage en profondeur puis leur réouverture le jour suivant.

Swahili

kisa kikipatikana, athari kwa huduma imekuwa kufungwa kwa siku nzima kwa ajili ya usafi wa kina kisha kufungua tena.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

French

o profondeur de la richesse, de la sagesse et de la science de dieu! que ses jugements sont insondables, et ses voies incompréhensibles! car

Swahili

utajiri, hekima na elimu ya mungu ni kuu mno! huruma zake hazichunguziki, na njia zake hazieleweki! kama yasemavyo maandiko matakatifu:

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

French

@pcayuqueo: c'est difficile de discuter la question mapuche en profondeur quand ce qui déclenche les débats est la chronique policière.

Swahili

@pcayuqueo: n ni vigumu kuongelea chimbuko la jambo hili la mapuche wakati kinachochochea mijadala ni matukio ya muda mrefu ya polisi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

le site attire l'attention des lecteurs sur un numéro spécial de la revue des migrations forcées, qui fait une analyse en profondeur de l'utilisation des tic dans ce contexte.

Swahili

tovuti hiyo inawaonyesha wasomaji wake makala maalum ya jarida la uhamiaji wa kulazimishwa ambalo linaangalia kwa kina suala la teknohama katika muktadha huu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

nous maintenons nos demandes pour un contrôle extérieur des membres du moi, pour une réforme en profondeur des forces spéciales, et pour l'humanisation de la profession de policier, à travers des policiers engagés à travailler au bénéfice de la société.

Swahili

tungali tukisisitiza madai yetu kwa hatua zaidi za kudhibiti wafanyakazi wa moi, kwa ajili ya mageuzi ya kimsingi ya vikosi maalum, na kwa ajili ya kuifanya taaluma ya polisi kuingiwa na ubinadamu, kwa kuwashirikisha polisi kazi zenye manufaa kwa jamii.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

"le pays continue à chuter dans les profondeurs du classement, pour sa politique de répression systématique mise en place par les dirigeants politiques de tunis contre quiconque exprime des idées contraires à celle du régime" commente ce rapport.

Swahili

“nchi hiyo inaendelea kuporomoka kwenda kwenye nafasi za chini zaidi za orodha kwa sababu ya sera zake za kigandamizaji zinazotekelezwa na watawala wa serikali mjini tunis dhidi ya mtu yeyote anayetoa wazo kinyume na lile la utawala ulioko madarakani,” inasema taarifa hiyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,795,022,150 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK