From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
après cela, je regardai, et le temple du tabernacle du témoignage fut ouvert dans le ciel.
baada ya hayo nikaona hekalu limefunguliwa mbinguni, na ndani yake hema ionyeshayo kuwapo kwa mungu.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
et me dit: saul, mon frère, recouvre la vue. au même instant, je recouvrai la vue et je le regardai.
yeye alikuja kuniona, akasimama karibu nami, akasema: ndugu saulo! ona tena. papo hapo nikaona tena, nikamwangalia.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
je regardai de nouveau par la fenêtre et remarquai la serveuse adossée d’un air nonchalant près de ce qui semblait être la porte de la cuisine.
niliangalia nyuma kupitia dirishani nikamuona muhudumu wa kike, akipumzika karibu na mlango ulioonekana kana kwamba ni wa jikoni.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
je regardai, et voici, parut un cheval blanc. celui qui le montait avait un arc; une couronne lui fut donnée, et il partit en vainqueur et pour vaincre.
mimi nikatazama, na kumbe palikuwa na farasi mmoja mweupe hapo. na mpanda farasi wake alikuwa na upinde, akapewa na taji. basi, akatoka kama mshindi aendelee kushinda.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
je regardai, et j`entendis la voix de beaucoup d`anges autour du trône et des êtres vivants et des vieillards, et leur nombre était des myriades de myriades et des milliers de milliers.
kisha nikatazama, nikasikia sauti ya malaika wengi sana, idadi isiyohesabika, maelfu na maelfu. walikuwa wamekaa kuzunguka kiti cha enzi, vile viumbe hai vinne na wale wazee;
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
je pouvais sentir le progrès partout où je regardais, et dès le trajet entre l'aéroport et la maison de ma tante.
niliweza kuhisi maendeleo kila nilipopatazama, na hiii ilikuwa ni katika safari yangu ya kutoka uwanja wa ndege kulekea nyumbani kwa shangazi yangu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: