Results for souverain translation from French to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

French

Swahili

Info

French

souverain

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

French

Swahili

Info

French

le souverain des hommes,

Swahili

mfalme wa wanaadamu,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

French

que soit éxalté allah, le vrai souverain!

Swahili

ametukuka mwenyezi mungu, mfalme wa haki.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

French

anne l`envoya lié à caïphe, le souverain sacrificateur.

Swahili

basi, anasi akampeleka yesu akiwa amefungwa, kwa kuhani mkuu kayafa.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

French

dans un séjour de vérité, auprès d'un souverain omnipotent.

Swahili

katika makalio ya haki kwa mfalme mwenye uweza.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

French

le souverain sacrificateur dit: les choses sont-elles ainsi?

Swahili

basi, kuhani mkuu akamwuliza, "je, mambo haya ni kweli?"

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

French

et puisque nous avons un souverain sacrificateur établi sur la maison de dieu,

Swahili

basi, tunaye kuhani maarufu aliye na mamlaka juu ya nyumba ya mungu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

French

ceux qui étaient près de lui dirent: tu insultes le souverain sacrificateur de dieu!

Swahili

watu waliokuwa wamesimama pale wakamwambia paulo, "unamtukana kuhani mkuu wa mungu!"

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

French

le souverain sacrificateur ananias ordonna à ceux qui étaient près de lui de le frapper sur la bouche.

Swahili

hapo kuhani mkuu anania akaamuru wale waliokuwa wamesimama karibu na paulo wampige kofi mdomoni.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

French

que manifestera en son temps le bienheureux et seul souverain, le roi des rois, et le seigneur des seigneurs,

Swahili

kutokea kwake kutafanyika wakati ufaao uliopangwa na mungu mwenye heri na aliye mtawala pekee, mfalme wa wafalme, na bwana wa mabwana.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

French

ces grands enfants ne sauront pas se défendre ou éviter les écueils liés au statut d’état souverain ?

Swahili

hao watoto wakubwa hawatajua jinsi ya kujilinda au kuepuka vipingamizi vinavyoambatana na kuwa taifa huru?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

après qu`ils les eurent amenés en présence du sanhédrin, le souverain sacrificateur les interrogea en ces termes:

Swahili

basi, wakawapeleka, wakawasimamisha mbele ya baraza. kuhani mkuu akawaambia,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

French

ce qui est dans les cieux et ce qui est sur la terre glorifient allah, le souverain, le pur, le puissant, le sage.

Swahili

viliomo mbinguni na viliomo katika ardhi vinamtakasa mwenyezi mungu, mfalme, mtakatifu, mwenye nguvu, mwenye hikima.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

French

et l`un d`eux frappa le serviteur du souverain sacrificateur, et lui emporta l`oreille droite.

Swahili

na mmoja wao akampiga upanga mtumishi wa kuhani mkuu, akamkata sikio lake la kulia.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

French

Écoutez, la zambie est un état souverain, nous n'avons pas besoin qu'on vienne nous dire comment nous devons vivre.

Swahili

sikia, zambia ni taifa huru, hatuhitaji kuelekezwa namna ya kuishi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

ainsi, puisque nous avons un grand souverain sacrificateur qui a traversé les cieux, jésus, le fils de dieu, demeurons fermes dans la foi que nous professons.

Swahili

basi, tunapaswa kuzingatia kwa uthabiti imani tunayoiungama. maana tunaye kuhani mkuu aliyeingia mpaka kwa mungu mwenyewe--yesu, mwana wa mungu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

French

et dans la seconde le souverain sacrificateur seul entre une fois par an, non sans y porter du sang qu`il offre pour lui-même et pour les péchés du peuple.

Swahili

lakini kuhani mkuu peke yake ndiye anayeingia katika lile hema la pili; naye hufanya hivyo mara moja tu kwa mwaka. anapoingia ndani huwa amechukua damu ambayo anamtolea mungu kwa ajili yake mwenyewe na kwa ajili ya dhambi ambazo watu wamezitenda bila wao wenyewe kujua.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

French

c`est pourquoi, frères saints, qui avez part à la vocation céleste, considérez l`apôtre et le souverain sacrificateur de la foi que nous professons,

Swahili

ndugu zangu watu wa mungu ambao mmeitwa na mungu, fikirini juu ya yesu ambaye mungu alimtuma awe kuhani mkuu wa imani tunayoiungama.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

French

car nous n`avons pas un souverain sacrificateur qui ne puisse compatir à nos faiblesses; au contraire, il a été tenté comme nous en toutes choses, sans commettre de péché.

Swahili

huyu kuhani mkuu wetu si mmoja ambaye hawezi kutuunga mkono katika unyonge wetu, ila ni kuhani mkuu ambaye alijaribiwa kama sisi kwa kila namna lakini hakutenda dhambi.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

French

ainsi avons-nous raffermi joseph dans le pays et nous lui avons appris l'interprétation des rêves. et allah est souverain en son commandement: mais la plupart des gens ne savent pas.

Swahili

na mwenyezi mungu ndiye mwenye kushinda katika jambo lake, lakini watu wengi hawajui.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

French

certes, reconnaît-il, "les etats ont le droit souverain de protéger leurs frontières et de contrôler l'immigration", mais l'italie doit revoir ses procédures pour s'assurer que tous les migrants interceptés reçoivent d'abord des soins et puissent déposer une demande d'asile.

Swahili

nchi ya italia pia imelaumiwa mara kadhaa kwa ajili ya sera yake dhidi ya uhamiaji isiyolingana na maafikiano ya kiulaya. blogu ya gabriele del grande, fortresseurope.blogspot.com , huchapisha taarifa kuhusu shughuli za 'ngome ya ulaya' kwa ajili ya utetezi wa haki za wahamiaji.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,796,730,773 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK