From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
cependant, depuis le début de ce système, des détournements des aliments destinés aux enfants sont régulièrement dénoncés.
hata hivyo, tangu kuanza kwa utaratibu huu, kumekuwa na taarifa za wazi za ubadhirifu wa chakula kilichokusudiwa kwa wanafunzi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
cette pratique est particulièrement importante pour les personnes qui manipulent des aliments ou travaillent dans le domaine médical, mais également pour le grand public.
hii ni muhimu hasa kwa watu wanaoshughulikia vyakula au wanaofanya kazi katika uwanja wa kimatibabu, lakini pia ni kitendo muhimu kwa umma kijumla.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
au kenya, les urbains sont en train d'apprendre différentes techniques pour faire pousser des aliments à consommer et à vendre, même dans des espaces très réduits.
nchini kenya, wakazi wa mijini wameanza kujifunza mbinu anuai za kulima chakula kwa ajili ya matumizi yao na kuuza hata katika eneo dogo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ne vous laissez pas entraîner par des doctrines diverses et étrangères; car il est bon que le coeur soit affermi par la grâce, et non par des aliments qui n`ont servi de rien à ceux qui s`y sont attachés.
msipeperushwe huku na huku kwa mafundisho tofauti ya kigeni. neema ya mungu ndiyo inayoimarisha roho zetu na wala si masharti juu ya chakula; masharti hayo hayakumsaidia kamwe mtu yeyote aliyeyafuata.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
il est important de se laver les mains au savon à cinq moments clés de la journée : avant et après la défécation, après avoir nettoyé les fesses d'un bébé ou changé ses couches, avant de nourrir un enfant, avant de manger et avant et après avoir préparé des aliments ou manipulé de la viande, du poisson ou de la volaille crus.
nyakati tano muhimu wakati wa mchana ambapo kuosha mkono kwa sabuni ni muhimu ni pamoja na: kabla na baada ya kuenda msalani, baada ya kusafisha choo ya mtoto au kumbadilisha nepi, kabla ya kumpa mtoto chakula, kabla ya kula na kabla na baada ya kuandaa chakula au kugusa nyama mbichi, samaki au kuku.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.