Results for violée translation from French to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

French

Swahili

Info

French

usa - rdc: "orpheline, violée et ignorée"

Swahili

marekani - kingo drc: "wameachwa yatima, wamebakwa na wamepuuzwa"

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

French

on suppose qu'elle a été violée et tuée en guise de vengeance.

Swahili

kwa hiyo, inadhaniwa kuwa alibakwa na kisha kuuliwa kama namna ya kulipiza kisasi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

une femme sur cinq ne sait pas qu'elle doit porter plainte à la police si elle est violée??

Swahili

mmoja kati ya kila wanawake watano hajui kwamba anapaswa kutoa taarifa za ubakaji kwa polisi??

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

il y a quelques mois, une autre jeune autochtone a été tuée et violée. elle était élève de cinquième année.

Swahili

miezi michache iliyopita, msichana mwingine alibakwa na kisha kuuliwa.alikuwa ni mwanafunzi wa darasa la tano.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

récemment, une jeune fille aborigène a été violée et tuée dans le village de borodalupara, dans kawkhali upazila, dans le district de rangamati. et ?

Swahili

siku za hivi karibuni, msichana mzawa alibakwa na kisha kuuliwa katika kijiji cha borodalupara huko kawkhali upazila katika wilaya ya rangamati.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

encore une fois, une jeune fille des tribus autochtones du bangladesh a été tuée brutalement après avoir été violée dans le village de borodalupara, kawkhlai upazila, dans le district de randamati.

Swahili

kwa mara nyingine tena msichana mzawa ameuliwa mara baada ya kufanyiwa ukatili kwa kubakwa katika kijiji cha borodalupara, kawkhali upazila ya wilaya ya rangamati.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

accuser les victimes de viol d'avoir provoqué le viol revient à accuser une personne assassinée de son propre assassinat. #menagainstrape

Swahili

kuwageuzia kibao wahanga wa ubakaji kuwa ndio wanaosababisha wabakwe ni sawa na kumlaumu aliyeuawa kwa kuuawa

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,945,260,068 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK