From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
und als er hungrig ward, wollte er essen. da sie ihm aber zubereiteten, ward er entzückt
aliona njaa, akatamani kupata chakula. chakula kilipokuwa kinatayarishwa, alipatwa na usingizi mzito akaona maono.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ich bin hungrig gewesen, und ihr habt mich nicht gespeist. ich bin durstig gewesen, und ihr habt mich nicht getränkt.
maana nilikuwa na njaa nanyi hamkunipa chakula; nilikuwa na kiu nanyi hamkunipa maji.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
denn so man das abendmahl halten soll, nimmt ein jeglicher sein eigenes vorhin, und einer ist hungrig, der andere ist trunken.
maana mnapokula kila mmoja hukikalia chakula chake mwenyewe, hata hutokea kwamba baadhi yenu wana njaa, na wengine wamelewa!
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
zu der zeit ging jesus durch die saat am sabbat; und seine jünger waren hungrig, fingen an, Ähren auszuraufen, und aßen.
wakati huo, yesu alikuwa anapita katika mashamba ya ngano siku ya sabato. basi, wanafunzi wake wakaona njaa, wakaanza kukwanyua masuke ya ngano, wakala punje zake.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
dann werden ihm die gerechten antworten und sagen: wann haben wir dich hungrig gesehen und haben dich gespeist? oder durstig und haben dich getränkt?
hapo, hao watu wema watamjibu mfalme bwana, ni lini tulikuona mwenye njaa nasi tukakupa chakula, au ukiwa na kiu nasi tukakunywesha maji?
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
da werden sie ihm antworten und sagen: herr, wann haben wir dich gesehen hungrig oder durstig oder als einen gast oder nackt oder krank oder gefangen und haben dir nicht gedient?
"hapo nao watajibu, bwana, ni lini tulikuona ukiwa na njaa au kiu, ukiwa mgeni au bila nguo, ukiwa mgonjwa au mfungwa, nasi hatukuja kukuhudumia?
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
die hungrigen füllt er mit gütern und läßt die reichen leer.
wenye njaa amewashibisha mema, matajiri amewaacha waende mikono mitupu.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality: