Results for kreis translation from German to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

German

Swahili

Info

German

kreis

Swahili

pendo

Last Update: 2014-05-20
Usage Frequency: 4
Quality:

Reference: Wikipedia

German

so schließ' dich dem kreis meiner diener an.

Swahili

basi ingia miongoni mwa waja wangu,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

German

und er verwunderte sich ihres unglaubens. und er ging umher in die flecken im kreis und lehrte sie.

Swahili

alishangaa sana kwa sababu ya kutoamini kwao. kisha yesu alivitembelea vijiji vya pale karibu akiwafundisha watu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

German

denn es sind geister der teufel, die tun zeichen und gehen aus zu den königen auf dem ganzen kreis der welt, sie zu versammeln in den streit auf jenen tag gottes, des allmächtigen.

Swahili

hawa ndio roho za pepo wafanyao miujiza. ndio wanaokwenda kwa wafalme wa ulimwengu wote na kuwakusanya pamoja kwa ajili ya vita kuu siku ile ya mungu mwenye uwezo.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

German

und einer unter ihnen mit namen agabus stand auf und deutete durch den geist eine große teuerung, die da kommen sollte über den ganzen kreis der erde; welche geschah unter dem kaiser klaudius.

Swahili

basi, mmoja wao aitwaye agabo alisimama, na kwa uwezo wa roho akabashiri kwamba kutakuwa na njaa kubwa katika nchi yote (njaa hiyo ilitokea wakati klaudio alipokuwa akitawala).

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

German

das twitterverbot, das berichten nach circa 10 millionen nutzer in der türkei betrifft, erfolgte, als dokumente veröffentlicht wurden, die vermeintliche korruption im engsten kreis rund um den premierminister recep tayyip erdogan aufdecken.

Swahili

kufungiwa kwa mtandao wa twita, kulikoripotiwa kuathiri watu zaidi ya milioni 10 wanaotumia mtandao huo nchini uturuki, hali iliyofuatia kuchapishwa kwa nyaraka zinazosemekana 'kufunua' ufisadi wa maswahiba wa karibu wa waziri mkuu recep tayyip erdogan.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

German

darum daß er einen tag gesetzt hat, an welchem er richten will den kreis des erdbodens mit gerechtigkeit durch einen mann, in welchem er's beschlossen hat und jedermann vorhält den glauben, nachdem er ihn hat von den toten auferweckt.

Swahili

kwa maana amekwisha weka siku ambayo atauhukumu ulimwengu kwa haki kwa njia ya mtu mmoja aliyemteua. mungu amewathibitishia wote jambo hili kwa kumfufua mtu huyo kutoka wafu!"

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

German

was allah seinem gesandten von den bewohnern der städte als kampflose beute zugeteilt hat, das gehört allah, seinem gesandten und den verwandten, den waisen, den armen und dem sohn des weges. dies, damit es nicht nur im kreis der reichen von euch bleibt.

Swahili

mali aliyo leta mwenyezi mungu kwa mtume wake kutoka kwa watu wa hivi vijiji ni kwa ajili ya mwenyezi mungu, na kwa ajili ya mtume, na jamaa, na mayatima, na masikini, na msafiri, ili yasiwe yakizunguka baina ya matajiri tu miongoni mwenu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
7,794,291,495 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK