From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
euer gefährte leidet nicht an besessenheit.
mwenzenu huyu hana wazimu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
er ist nur ein mann, der an besessenheit leidet.
huyu si lolote ila ni mtu mwenye wazimu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
oder sagen sie: "er leidet an besessenheit?"
au wanasema: ana wazimu?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 2
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
euer gefährte leidet sicher nicht unter geistesgestörtheit.
mwenzenu huyu hana wazimu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
leidet ihr, so leiden sie gerade so, wie ihr leidet.
ikiwa mnaumia, basi nao pia wanaumia kama mnavyo umia nyinyi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
hat er gegen gott eine lüge erdichtet, oder leidet er an besessenheit?»
ama amemzulia mwenyezi mungu uwongo, au ana wazimu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
ihr gefährte leidet nicht an besessenheit; er ist nur ein deutlicher warner.
hakuwa yeye ila ni mwonyaji aliye dhaahiri.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
ihr gefährte leidet doch nicht an besessenheit; er ist nur ein deutlicher warner.
huyu mwenzao hana wazimu. hakuwa yeye ila ni mwonyaji aliye dhaahiri.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
hat er gegen allah eine lüge ersonnen, oder leidet er an besessenheit?" nein!
ama amemzulia mwenyezi mungu uwongo, au ana wazimu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
leidet jemand unter euch, der bete; ist jemand gutes muts, der singe psalmen.
je, pana mtu yeyote miongoni mwenu aliye na shida? anapaswa kusali. je, yuko mwenye furaha? anapaswa kuimba nyimbo za sifa.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
denn das ist gnade, so jemand um des gewissens willen zu gott das Übel verträgt und leidet das unrecht.
maana kama mnavumilia maumivu ya mateso msiyostahili kwa sababu mwajua kwamba mungu anataka hivyo, basi mungu atawafadhili.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
eine große anzahl an museen leidet zudem unter einer beschädigten infrastruktur, was auf den bewaffneten konflikt zurückgeht.
idadi kubwa ya majengo ya makumbusho yameharibiwa vibaya ikiwa ni matokeo ya mapigano yanayoendelea kwa kutumia silaha nzito.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
und es ist keine sünde für euch, wenn ihr eure waffen ablegt, falls ihr unter regen leidet oder krank seid.
wala si vibaya kwenu ikiwa mnaona udhia kwa sababu ya mvua au mkawa wagonjwa, mkaziweka silaha zenu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
er ist nichts anderes als ein mann, der unter besessenheit leidet; wartet darum eine weile mit ihm."
huyu si lolote ila ni mtu mwenye wazimu. basi mngojeeni tu kwa muda.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
auch heute noch leidet ein großteil der Überlebenden, weil ein allumfassender strategieplan der regierung fehlt, um die verwüsteten regionen wieder aufzubauen.
leo, maelfu bado wanaendelea kuteseka kutokana na ukosefu wa mpango wa kina wa serikali wa kukarabati eneo lililoharibiwa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
und ob ihr auch leidet um gerechtigkeit willen, so seid ihr doch selig. fürchtet euch aber vor ihrem trotzen nicht und erschrecket nicht;
lakini, hata kama itawapasa kuteseka kwa sababu ya kutenda mema, basi, mna heri. msimwogope mtu yeyote, wala msikubali kutiwa katika wasiwasi.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
einige berichte deuten darauf hin, dass qahwajis tochter an krebs leidet und momentan in jordanien behandelt wird, und dass er es sich nicht leisten kann sie zu besuchen.
baadhi ya taarifa zinasema kuwa mtoto wa kike wa qahwaji anasumbuliwa na saratani na anapata matibabu huko jordani na kwamba qahwaji hakuweza kumtembelea na ailiamua kujiunguza kwa moto ili kuishinikiza mamlaka ya palestina imsaidie fedha ili akamjulie hali mtoto wake.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
denn was ist das für ein ruhm, so ihr um missetat willen streiche leidet? aber wenn ihr um wohltat willen leidet und erduldet, das ist gnade bei gott.
maana, mtapata tuzo gani mkivumilia mapigo mnayostahili kwa sababu ya makosa yenu? lakini kama mnavumilia mateso hata ingawa mmetenda mema, mungu atawapeni baraka kwa ajili hiyo.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
der gott aber aller gnade, der uns berufen hat zu seiner ewigen herrlichkeit in christo jesu, der wird euch, die ihr eine kleine zeit leidet, vollbereiten, stärken, kräftigen, gründen.
lakini mkisha teseka muda mfupi, mungu aliye asili ya neema yote na ambaye anawaiteni muushiriki utukufu wake wa milele katika kuungana na kristo, yeye mwenyewe atawakamilisheni na kuwapeni uthabiti, nguvu na msingi imara.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
wahrlich, ein gesandter aus eurer mitte ist zu euch gekommen; es schmerzt ihn sehr, wenn ihr unter etwas leidet; er setzt sich eifrig für euer wohl ein; gegen die gläubigen ist er mitleidig und barmherzig.
hakika amekwisha kujieni mtume kutokana na nyinyi wenyewe; yanamhuzunisha yanayo kutaabisheni; anakuhangaikieni sana. kwa waumini ni mpole na mwenye huruma.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: