Results for monaten translation from German to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

German

Swahili

Info

German

von diesen (monaten) sind vier heilig.

Swahili

hiyo ndiyo dini iliyo sawa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

German

die hadsch findet in bekannten monaten statt.

Swahili

hija ni miezi maalumu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

German

daraufhin ist abel wegen missachtung des gerichts zu vier monaten gefängnis verurteilt worden.

Swahili

kwa sababu hii, abel alihukumiwa kifungo cha miezi minne kwa kuibeza mahakama.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

German

diejenigen, die schwören, sich ihrer frauen zu enthalten, haben eine wartezeit von vier monaten.

Swahili

kwa wanao apa kuwa watajitenga na wake zao, wangojee miezi mine.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

German

nach der ersten anhörung in dem prozess forderten die richter, ghanem zu 18 monaten gefängnis zu verurteilen.

Swahili

baada ya kusikilizwa kwa mshitaka hayo kwa mara ya kwanza, majaji walipendekeza kifungo cha miezi 18 dhidi ya ghanem.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

German

und wer (dies) nicht aufbringen kann, fastet an zwei aufeinanderfolgenden monaten als reue vor allah.

Swahili

na asiye pata, basi afunge miezi miwili mfululizo, kuwa ni toba kwa mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

German

nach drei monaten aber fuhren wir aus in einem schiffe von alexandrien, welches bei der insel überwintert hatte und hatte ein panier der zwillinge.

Swahili

baada ya miezi mitatu tulianza tena safari yetu kwa meli moja ya aleksandria iitwayo "miungu pacha". meli hiyo ilikuwa imetia nanga kisiwani wakati wote wa baridi.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

German

protestanten in teheran trampelten auf dem portrait des obersten führers ayatollah ali khamenei herum, ein vorgang, der vor ein paar monaten noch undenkbar war.

Swahili

waandamanaji jijini teherani walikanyagakanyaga picha ya kiongozi mkuu wa kidini nchini humo, ayatollah ali khamenei, kitendo ambacho wala kisingefikiriwa miezi michache tu iliyopita.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

German

nach einer aufdeckung durch koaci.com, dass eine gruppe von afrikanischen frauen gefoltert wurde, wurden die betroffenen frauen vor einigen monaten erfolgreich aus dem libanon zurückgeführt.

Swahili

miezi michache iliyopita, mara baada ya koaci.com kuweka bayana kuwa kundi moja la wanawake wa kiafrika kunyanyaswa walifanikiwa kurudishwa nchini mwao salama kutoka lebanon.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

German

eine der demonstrantinnen war seine tochter, bahia al-roushodi, die nach dem früheren sit-in zu einer bewährungsstrafe von fünf monaten verurteilt wurde.

Swahili

miongoni mwa waandamanaji hao, alikuwapo mtoto wa bahia al-roushodi, ambaye alihukumiwa kifungo cha miezi minne mara baada ya maandamano hayo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

German

und für die von euren frauen, die keine menstruation mehr erwarten, falls ihr da zweifel hegt, gilt eine wartezeit von drei monaten. und ebenso für die, die keine menstruation haben.

Swahili

na wale walio sita hedhi miongoni mwa wanawake wenu, ikiwa mnayo shaka, basi muda wa eda yao ni miezi mitatu, pamoja na ambao hawapati hedhi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

German

vor sechs monaten starben tausende menschen in der region östliche visayas, nachdem der super-taifun haiyan (von einheimischen yolanda genannt) auf die inselgruppe der philippinen traf.

Swahili

miezi sita iliyopita, maelfu walifariki katika eneo la mashariki mwa visayas nchini philippines baada ya kukumbwa na kimbunga kikubwa cha haiyan (ama kwa jina lingine yolanda).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

German

monat

Swahili

mwezi

Last Update: 2014-11-23
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
8,941,739,337 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK