From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
und sie nahmen ihn und stießen ihn zum weinberg hinaus und töteten ihn.
basi, wakamkamata, wakamtoa nje ya lile shamba la mizabibu, wakamwua.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
und über das sandte er den dritten; sie aber verwundeten den auch und stießen ihn hinaus.
akamtuma tena wa tatu; huyu naye, baada ya kumwumiza, wakamfukuza.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
und von da stießen wir ab und schifften unter zypern hin, darum daß uns die winde entgegen waren,
kutoka huko tuliendelea na safari, lakini kwa kuwa upepo ulikuwa unavuma kwa kasi kutujia kwa mbele, tulipitia upande wa kisiwa cha kupro ambapo upepo haukuwa mwingi.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
beide rannten dann zur tür und sie zerriß sein hemd von hinten, dann stießen beide auf ihren ehemann an der tür.
na wote wawili wakakimbilia mlangoni, na mwanamke akairarua kanzu yake yusuf kwa nyuma.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
gemäß den webseiten einiger nachrichten-medien stießen die sicherheitskräfte mit den studenten zusammen und verhafteten einige von ihnen.
kwa mujibu wa tovuti kadhaa za habari, vikosi vya ulinzi vilipambana na wanafunzi na kuwatia nguvuni baadhi yao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
da nun ein platzregen fiel und kam ein gewässer und wehten die winde und stießen an das haus, da fiel es und tat einen großen fall.
mvua ikanyesha, mito ikafurika, pepo kali zikavuma na kuipiga nyumba hiyo, nayo ikaanguka; tena kwa kishindo kikubwa."
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
aber die juden bewegten die andächtigen und ehrbaren weiber und der stadt oberste und erweckten eine verfolgung über paulus und barnabas und stießen sie zu ihren grenzen hinaus.
lakini wayahudi waliwachochea wanawake wa tabaka ya juu wa mataifa mengine ambao walikuwa wacha mungu, na wanaume maarufu wa mji huo. wakaanza kuwatesa paulo na barnaba, wakawafukuza kutoka katika eneo lao.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
und standen auf und stießen ihn zur stadt hinaus und führten ihn auf einen hügel des berges, darauf ihre stadt gebaut war, daß sie ihn hinabstürzten.
wakasimama, wakamtoa nje ya mji wao uliokuwa umejengwa juu ya kilima, wakampeleka mpaka kwenye ukingo wa kilima hicho ili wamtupe chini.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
da nun ein platzregen fiel und ein gewässer kam und wehten die winde und stießen an das haus, fiel es doch nicht; denn es war auf einen felsen gegründet.
mvua ikanyesha, mito ikafurika, pepo kali zikavuma na kuipiga nyumba hiyo. lakini haikuanguka kwa sababu ilikuwa imejengwa juu ya mwamba.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
und von da schifften wir und kamen des andern tages hin gegen chios; und des folgenden tages stießen wir an samos und blieben in trogyllion; und des nächsten tages kamen wir gen milet.
kutoka huko tulisafiri tukafika kio kesho yake. siku ya pili, tulitia nanga samo na kesho yake tukafika mileto.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
und es begab sich an der tage einem, daß er in ein schiff trat samt seinen jüngern; und er sprach zu ihnen: laßt uns über den see fahren. und sie stießen vom lande.
siku moja, yesu alipanda mashua pamoja na wanafunzi wake, akawaambia, "tuvuke ziwa twende mpaka ng'ambo." basi, wakaanza safari.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting