From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
und sie strebten nach dem wohlgefallen allahs.
hapana baya lilio wagusa, na wakafuata yanayo mridhi mwenyezi mungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
wenn ihnen davon gegeben wird, zeigen sie wohlgefallen.
wanapo pewa wao huridhika.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
allah hat wohlgefallen an ihnen und sie sind mit ihm zufrieden.
mwenyezi mungu awe radhi nao, na wao wawe radhi naye.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
gott hat wohlgefallen an ihnen, und sie haben wohlgefallen an ihm.
mwenyezi mungu amewawia radhi, nao wawe radhi naye.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
allah hat wohlgefallen an ihnen, und sie haben wohlgefallen an ihm.
mwenyezi mungu amewawia radhi, nao wawe radhi naye.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
denn es ist das wohlgefallen gewesen, daß in ihm alle fülle wohnen sollte
maana mungu alipenda utimilifu wote uwe ndani yake.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
dies ist besser für diejenigen, die (das wohlgefallen) allahs anstreben.
hayo ni kheri kwa watakao radhi ya mwenyezi mungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
du siehst, wie sie sich verneigen und niederwerfen im streben nach gottes huld und wohlgefallen.
utawaona wakiinama na kusujudu wakitafuta fadhila na radhi za mwenyezi mungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
allah hatte ja wohlgefallen an den gläubigen, als sie dir unter dem baum den treueid leisteten.
kwa hakika mwenyezi mungu amewapa radhi waumini walipo fungamana nawe chini ya mti, na alijua yaliyomo nyoyoni mwao.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
und da geschah eine stimme vom himmel: du bist mein lieber sohn, an dem ich wohlgefallen habe.
sauti ikasikika kutoka mbinguni: "wewe ni mwanangu mpendwa, nimependezwa nawe."
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ihr herr verkündet ihnen barmherzigkeit von sich und wohlgefallen und gärten, in denen sie beständige wonne haben,
mola wao mlezi anawabashiria rehema zitokazo kwake, na radhi, na bustani ambazo humo watapata neema za kudumu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
dann wird alles zu zermalmtem zeug. im jenseits gibt es eine harte pein, und auch vergebung von gott und wohlgefallen.
na akhera kuna adhabu kali na maghfira kutoka kwa mwenyezi mungu na radhi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
allah hat an ihnen wohlgefallen, und sie haben wohlgefallen an ihm; das ist die große glückseligkeit."
mwenyezi mungu amewawia radhi, nao wawe radhi naye. huku ndiko kufuzu kukubwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
und schicke nicht diejenigen weg, die bittgebete an ihren herrn am morgen und am abend im streben nach seinem wohlgefallen richten.
wala usiwafukuze wanao mwomba mola mlezi wao asubuhi na jioni kwa kutaka radhi yake.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
allah hat wohlgefallen an ihnen, und sie haben wohlgefallen an ihm; das ist für jemanden, der seinen herrn fürchtet.
mwenyezi mungu yu radhi nao, na wao waradhi naye. hayo ni kwa anaye mwogopa mola wake mlezi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
dies, weil sie dem folgen, was allah mißfällt, und ihnen sein wohlgefallen zuwider ist, und so läßt er ihre werke hinfällig werden.
hayo ni kwa sababu wao waliyafuata yaliyo mchukiza mwenyezi mungu na wakachukia yanayo mridhisha, basi akaviangusha vitendo vyao.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
dies, weil sie dem folgten, was den zorn allahs provozierte. und sie waren seinem wohlgefallen gegenüber abgeneigt, so ließ er ihre handlungen verfallen.
hayo ni kwa sababu wao waliyafuata yaliyo mchukiza mwenyezi mungu na wakachukia yanayo mridhisha, basi akaviangusha vitendo vyao.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
daher kehrten sie mit allahs gnade und huld zurück, ohne daß sie ein Übel getroffen hätte, und sie folgten dem wohlgefallen allahs; und allah ist voll großer huld.
basi wakarudi na neema na fadhila za mwenyezi mungu. hapana baya lilio wagusa, na wakafuata yanayo mridhi mwenyezi mungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
damit leitet allah jene, die sein wohlgefallen suchen, auf die wege des friedens, und er führt sie mit seiner erlaubnis aus den finsternissen zum licht und führt sie auf einen geraden weg.
mwenyezi mungu huwaongoa wenye kufuata radhi yake katika njia za salama, na huwatoa katika giza kuwapeleka kwenye nuru kwa amri yake, na huwaongoa kwenye njia iliyo nyooka.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
für diejenigen, die gottesfürchtig sind, werden bei ihrem herrn gärten sein, durcheilt von bächen, ewig darin zu bleiben, und vollkommen gereinigte gattinnen und wohlgefallen von allah.
kwa wachamngu ziko bustani kwa mola wao zipitazo mito kati yake. watadumu humo, na wake walio takaswa, na wanazo radhi za mwenyezi mungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: