Results for adamo translation from Italian to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Italian

Swahili

Info

Italian

adamo

Swahili

adamu

Last Update: 2013-01-27
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

adamo disobbedì al suo signore e si traviò.

Swahili

na adam akamuasi mola wake mlezi, na akapotea njia.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

perché prima è stato formato adamo e poi eva

Swahili

maana adamu aliumbwa kwanza, halafu hawa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

o figli di adamo, abbigliatevi prima di ogni orazione.

Swahili

enyi wanaadamu! chukueni pambo lenu kwenye kila pahala wakati wa ibada, na kuleni, na kunyweni na wala msifanye ubadhirifu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

e come tutti muoiono in adamo, così tutti riceveranno la vita in cristo

Swahili

kama vile watu wote wanavyokufa kwa kujiunga na adamu, vivyo hivyo wote watafufuliwa kwa kuungana na kristo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

disse: “o adamo, informali sui nomi di tutte [le cose]”.

Swahili

akasema: ewe adam! waambie majina yake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

e dicemmo: “o adamo, abita il paradiso, tu e la tua sposa.

Swahili

na tulisema: ewe adam!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

e non fu adamo ad essere ingannato, ma fu la donna che, ingannata, si rese colpevole di trasgressione

Swahili

na wala si adamu aliyedanganywa; bali mwanamke ndiye aliyedanganywa, akaivunja sheria ya mungu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

il primo uomo, adamo, divenne un essere vivente, ma l'ultimo adamo divenne spirito datore di vita

Swahili

maana maandiko yasema: "mtu wa kwanza, adamu, alikuwa kiumbe mwenye uhai;" lakini adamu wa mwisho ni roho awapaye watu uzima.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Italian

dicemmo: “o adamo, in verità quello è un nemico manifesto, per te e per la tua sposa.

Swahili

tukasema: ewe adam! hakika huyu ni adui yako na wa mkeo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

in verità vi abbiamo creati e plasmati, quindi dicemmo agli angeli: “prosternatevi davanti ad adamo”.

Swahili

na hakika tulikuumbeni, kisha tukakutieni sura, kisha tukawaambia malaika: msujudieni adam.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

in verità abbiamo onorato i figli di adamo, li abbiamo condotti sulla terra e sul mare e abbiamo concesso loro cibo eccellente e li abbiamo fatti primeggiare su molte delle nostre creature.

Swahili

na hakika tumewatukuza wanaadamu, na tumewapa vya kupanda nchi kavu na baharini, na tumewaruzuku vitu vizuri vizuri, na tumewafadhilisha kwa fadhila kubwa kuliko wengi miongoni mwa tulio waumba.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

o figli di adamo, non lasciatevi tentare da satana, come quando fece uscire dal paradiso i vostri genitori, strappando loro i vestiti per palesare la loro vergogna.

Swahili

eny wanaadamu! asije shet'ani kukufitinini kama alivyo watoa wazazi wenu peponi, akawavua nguo zao kuwaonyesha tupu zao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

adamo ricevette parole dal suo signore e allah accolse il suo [pentimento]. in verità egli è colui che accetta il pentimento, il misericordioso.

Swahili

kisha adam akapokea maneno kwa mola wake mlezi, na mola wake mlezi alimkubalia toba yake; hakika yeye ndiye mwingi wa kukubali toba na mwenye kurehemu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

gli sussurrò satana: “o adamo, vuoi che ti mostri l'albero dell'eternità e il regno imperituro?”.

Swahili

lakini shet'ani alimtia wasiwasi, akamwambia: ewe adam! nikujuulishe mti wa kuishi milele na ufalme usio koma?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

ed insegnò ad adamo i nomi di tutte le cose, quindi le presentò agli angeli e disse: “ditemi i loro nomi, se siete veritieri”.

Swahili

na akamfundisha adam majina ya vitu vyote, kisha akaviweka mbele ya malaika, na akasema: niambieni majina ya hivi ikiwa mnasema kweli.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

e quando dicemmo agli angeli: “prosternatevi ad adamo”, tutti si prosternarono, eccetto iblîs, che rifiutò per orgoglio e fu tra i miscredenti.

Swahili

na tulipo waambia malaika: msujudieni adam, wakamsujudia wote isipo kuwa iblis, alikataa na akajivuna na akawa katika makafiri.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

e geova dio diceva al serpente: “poiché hai fatto questa cosa, sei il maledetto fra tutti gli animali domestici e fra tutte le bestie selvagge del campo. andrai sul tuo ventre e mangerai polvere tutti i giorni della tua vita. e io porrò inimicizia fra te e la donna e fra il tuo seme e il seme di lei. egli ti schiaccerà la testa e tu gli schiaccerai il calcagno”. alla donna disse: “aumenterò grandemente il dolore della tua gravidanza; con doglie partorirai figli, e la tua brama sarà verso tuo marito, ed egli ti dominerà”. e ad adamo disse: “poiché hai ascoltato la voce di tua moglie e hai mangiato dell’albero circa il quale ti avevo dato questo comando: ‘non ne devi mangiare’, il suolo è maledetto per causa tua. con dolore ne mangerai il prodotto tutti i giorni della tua vita. e ti produrrà spine e triboli, e devi mangiare la vegetazione del campo. col sudore della tua faccia mangerai pane finché tornerai al suolo, poiché da esso sei stato tratto. poiché polvere sei e in polvere tornerai”. dopo ciò adamo mise a sua moglie il nome di eva, perché doveva divenire la madre di tutti i viventi. e geova dio faceva lunghe vesti di pelle per adamo e per sua moglie e li vestiva. e geova dio proseguì, dicendo: “ecco, l’uomo è divenuto simile a uno di noi conoscendo il bene e il male, e ora perché non stenda la mano e realmente prenda anche del frutto] dell’albero della vita e mangi e viva a tempo indefinito, …” allora geova dio lo mandò fuori del giardino di eden, perché coltivasse il suolo dal quale era stato tratto. e così cacciò l’uomo e pose ad oriente del giardino di eden i cherubini e la fiammeggiante lama di una spada che roteava continuamente per custodire la via dell’albero della vita.

Swahili

na yehova mungu akamwambia nyoka: “kwa sababu umefanya jambo hili, umelaaniwa kati ya wanyama wote wa kufugwa na kati ya wanyama wote wa mwituni. utakwenda kwa tumbo lako na utakula mavumbi siku zote za maisha yako. nami nitaweka uadui kati yako na yule mwanamke na kati ya uzao wako na uzao wake. yeye atakuponda kichwa nawe utamtia jeraha kwenye kisigino.” akamwambia mwanamke: “nitazidisha sana maumivu ya mimba yako; kwa uchungu utazaa watoto, na tamaa yako itakuwa kwa mume wako, naye atakutawala.” naye akamwambia adamu: “kwa sababu uliisikiliza sauti ya mke wako ukala matunda ya mti ambao nilikupa amri hii kuuhusu, ‘usile matunda yake,’ udongo umelaaniwa kwa sababu yako. kwa maumivu utakula mazao yake siku zote za maisha yako. nao utakuzalia miiba na mibaruti, nawe utakula mimea ya shambani. kwa jasho la uso wako utakula mkate mpaka utakaporudi katika udongo, kwa kuwa ulitolewa katika huo. kwa maana wewe ni mavumbi nawe utarudi mavumbini.” baada ya hayo adamu akamwita mke wake jina lake hawa, kwa sababu ndiye angekuja kuwa mama ya kila mtu anayeishi. na yehova mungu akawafanyia adamu na mke wake mavazi marefu ya ngozi, akawavika. na yehova mungu akaendelea kusema: “tazama, huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu kwa kujua mema na mabaya, na sasa ili asije akanyoosha mkono wake achukue matunda kutoka pia katika mti wa uzima na kula na kuishi mpaka wakati usio na kipimo,—” kwa hiyo yehova mungu akamwondoa katika bustani ya edeni ili aulime udongo ambao katika huo alikuwa ametolewa. na basi akamfukuza huyo mtu, akaweka upande wa mashariki wa bustani ya edeni makerubi na upanga unaowaka ambao ulikuwa unajizungusha-zungusha ili kuilinda njia ya kwenda kwenye ule mti wa uzima.

Last Update: 2013-03-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
7,773,349,796 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK