Results for animali translation from Italian to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Italian

Swahili

Info

Italian

animali

Swahili

mnyama

Last Update: 2013-06-30
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

ai giudei abbiamo vietato tutti gli animali ungolati.

Swahili

na wale walio fuata dini ya kiyahudi tumewaharimishia kila mwenye kucha.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

dall'acqua, allah ha creato tutti gli animali.

Swahili

na mwenyezi mungu ameumba kila kinyama kutokana na maji.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

luk'janivs'ka: dove le persone sono trattate come animali.

Swahili

mahabusu ya lukyanivsky sizo. mahali ambapo watu wanahifadhiwa kama wanyama.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

ha creato tutte le specie e vi ha dato vascelli e animali sui quali montate,

Swahili

na ambaye ndiye aliye umba katika kila kitu jike na dume, na akakufanyieni marikebu na wanyama mnao wapanda.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

i prodotti di origine animale possono veicolare agenti patogeni responsabili di malattie infettive degli animali

Swahili

chakula kutoka kwa wanyama, chaweza kusababisha magonjwa ya kuambukiza wanyama wengine

Last Update: 2014-02-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

per rivivificare con essa la terra morta e dissetare molti degli animali e degli uomini che abbiamo creato.

Swahili

ili kwa hayo tuihuishe nchi iliyo kufa, na tuwanyweshe wanyama na watu wengi tulio waumba.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

allah è colui che vi ha dato il bestiame, affinché alcuni animali siano cavalcature e di altri vi cibiate;

Swahili

mwenyezi mungu aliye kujaalieni nyama hoa, mifugo, ili muwapande baadhi yao, na muwale baadhi yao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

il 4 ottobre circa 30 attivisti per i diritti degli animali hanno manifestato lungo la via nathan a tsim sha tsui, una delle aree più turistiche di hong kong.

Swahili

mnamo oktoba 4, kiasi cha wanaharakati 30 waliandamana kupitia barabara ya nathan huko tsim sha tsui, eneo maarufu kwa utalii nchini hong kong.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

nella vostra creazione e negli animali che dissemina [sulla terra], ci sono segni per coloro che credono con fermezza.

Swahili

na katika umbo lenu na katika wanyama alio watawanya zimo ishara kwa watu wenye yakini.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

si prosterna davanti ad allah tutto ciò che c'è nei cieli, tutti gli animali della terra e gli angeli che non sono affatto orgogliosi:

Swahili

na vyote viliomo katika mbingu na katika ardhi, tangu wanyama mpaka malaika, vinamsujuidia mwenyezi mungu, na wala havitakabari.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

di': “vi sono permesse tutte le cose buone e quello che cacceranno gli animali che avete addestrato per la caccia, nel modo che allah vi ha insegnato.

Swahili

sema: mmehalalishiwa kila vilivyo vizuri na mlicho wafundisha wanyama kukiwinda. mnawafundisha alivyo kufunzeni mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

astenervi dalle carni offerte agli idoli, dal sangue, dagli animali soffocati e dalla impudicizia. farete cosa buona perciò a guardarvi da queste cose. state bene»

Swahili

msile vyakula vilivyotambikiwa sanamu; msinywe damu; msile nyama ya mnyama aliyenyongwa; na mjiepushe na uasherati. mtakuwa mmefanya vema kama mkiepa kufanya mambo hayo. wasalaam!"

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Italian

non vedi, dunque, che è davanti ad allah che si prosternano tutti coloro che sono nei cieli e tutti coloro che sono sulla terra e il sole e la luna e le stelle e le montagne e gli alberi e gli animali e molti tra gli uomini?

Swahili

je! huoni kwamba vinamsujudia mwenyezi mungu viliomo mbinguni na viliomo katika ardhi, na jua, na mwezi, na nyota, na milima, na miti, na wanyama, na wengi miongoni mwa watu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

quando giunse all'acqua di madian, vi trovò una moltitudine di uomini che abbeverava e scorse due donne che si tenevano in disparte trattenendo [i loro animali].

Swahili

na alipo yafikia maji ya madyana alikuta umati wa watu wananywesha (wanyama wao), na akakuta karibu yao wanawake wawili wanawazuia wanyama wao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

il mio animale domestico

Swahili

babu yangu

Last Update: 2021-10-19
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,747,443,172 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK