From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
non ti abbiamo forse aperto il petto [alla fede]?
hatukukunjulia kifua chako?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
chi è venuto a sapere delle manifestazioni ha aperto la strada.
wale waliosikia habari za maandamano hayo walijitokeza kwenye eneo la tukio.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
l'evento è aperto a tutti, ma i posti sono limitati.
tukio hili ni wazi kwa wote lakini nafasi ni chache.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
chiedete e vi sarà dato; cercate e troverete; bussate e vi sarà aperto
"ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtapata; bisheni, nanyi mtafunguliwa.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ma il caso ha aperto a una discussione e a un dialogo su questa pratica tradizionale.”
lakini kesi hii ilifungua mjadala mkali dhidi ya mila hii potofu."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
devo dire che la mia esperienza nella conversazione sg mi ha aperto gli occhi verso gli altri cittadini.
napaswa kusema kuwa, uzoefu wangu katika mazungumzo ya sg ulifungua macho yangu kwa wananchi wenzangu wa singapore.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ebbene io vi dico: chiedete e vi sarà dato, cercate e troverete, bussate e vi sarà aperto
kwa hiyo, ombeni, nanyi mtapewa, tafuteni, nanyi mtapata, bisheni nanyi mtafunguliwa.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
surprising europe appartiene a loro, un volume aperto, scritto più voci e approfondito attraverso immagini e video.
surprising europe ni kwa ajili yao, ni kitabu kilicho huru, kilichoandikwa na watu wengi na kilichohanikizwa kwa picha na video.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
da che mondo è mondo, non s'è mai sentito dire che uno abbia aperto gli occhi a un cieco nato
tangu mwanzo wa ulimwengu haijasikika kwamba mtu ameyafumbua macho ya mtu aliyezaliwa kipofu.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
in questo spazio aperto, la parola non è mediata e le esperienze trovano un modo per diventare patrimonio comune, condivisione.
katika jukwaa hili huru, simulizi hazifupishwi, na uzoefu unabaki kuwa ni urithi wa kila mmoja.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
non appena furono arrivati, riunirono la comunità e riferirono tutto quello che dio aveva compiuto per mezzo loro e come aveva aperto ai pagani la porta della fede
walipofika huko antiokia walifanya mkutano wa kanisa la mahali hapo, wakawapa taarifa juu ya mambo mungu aliyofanya pamoja nao, na jinsi alivyowafungulia mlango watu wa mataifa mengine mlango wa kuingia katika imani.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
la terra risplenderà della luce del suo signore, sarà aperto il registro e saranno condotti i profeti e i testimoni. saranno giudicati con equità e nessuno subirà un torto.
na ardhi itang'ara kwa nuru ya mola wake mlezi, na kitabu kitawekwa, na wataletwa manabii na mashahidi, na patahukumiwa baina yao kwa haki, wala hawatadhulumiwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
È partito l'annuale concorso aperto a tutti per votare le sette meraviglie dell' africa: questo il sito per votare.
shindano la kila mwaka limezinduliwa kwa ajili ya watu kupiga kura kuchagua maajabu saba yaliyo bora zaidi barani afrika, na upigaji kura umeshaanza.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
«abbiamo trovato il carcere scrupolosamente sbarrato e le guardie ai loro posti davanti alla porta, ma, dopo aver aperto, non abbiamo trovato dentro nessuno»
wakisema, "tulikuta gereza limefungwa kila upande na walinzi wakilinda milango. lakini tulipofungua hatukumkuta mtu yeyote ndani."
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
come poi ora ci veda, non lo sappiamo, né sappiamo chi gli ha aperto gli occhi; chiedetelo a lui, ha l'età, parlerà lui di se stesso»
lakini amepataje kuona, hatujui; na wala hatumjui yule aliyemfumbua macho. mwulizeni yeye mwenyewe; yeye ni mtu mzima, anaweza kujitetea mwenyewe."
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
porte aperte
c/mulango wazi
Last Update: 2021-10-12
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: