Results for bere translation from Italian to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Italian

Swahili

Info

Italian

bere

Swahili

bere

Last Update: 2013-11-16
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

colui che mi nutre e mi dà da bere,

Swahili

na ambaye ndiye ananilisha na kuninywesha.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

non abbiamo forse noi il diritto di mangiare e di bere

Swahili

je, hatuna haki ya kula na kunywa?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

e cominciasse a percuotere i suoi compagni e a bere e a mangiare con gli ubriaconi

Swahili

kisha akaanza kuwapiga watumishi wenzake, akaanza kula na kunywa pamoja na walevi,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

e li riempiremo al punto che si deve letteralmente lottare per arrivare al bar a prendere da bere.

Swahili

na huwa tunajazana kwenye sehemu hizo mpaka mtu unapata shida kupita ili kujinunulia kinywaji.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

gli diedero da bere vino mescolato con fiele; ma egli, assaggiatolo, non ne volle bere

Swahili

wakampa mchanganyiko wa divai na nyongo. lakini yesu alipoonja akakataa kunywa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

e, improvvisamente, sgorgarono dodici fonti, e ogni tribù seppe dove doveva bere!

Swahili

mara zikatimbuka chemchem kumi na mbili; kila kabila ikajua mahali pake pa kunywea.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

il malato smette poi di bere e di mangiare. seguono convulsioni e arresto della crescita, sia fisica che mentale.

Swahili

na baadae mtoto anaharibikiwa akili na mwili kushindwa kufanya kazi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

chiunque vi darà da bere un bicchiere d'acqua nel mio nome perché siete di cristo, vi dico in verità che non perderà la sua ricompensa

Swahili

mtu yeyote atakeyewapeni kikombe cha maji ya kunywa kwa sababu ninyi ni watu wake kristo, hakika hatakosa kupata tuzo lake.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

informali che devono dividere l'acqua [con la cammella]: ognuno il suo turno per bere.

Swahili

na waambie kwamba maji yatagawanywa baina yao; kila sehemu ya maji itahudhuriwa na aliye khusika.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

allora i giusti gli risponderanno: signore, quando mai ti abbiamo veduto affamato e ti abbiamo dato da mangiare, assetato e ti abbiamo dato da bere

Swahili

hapo, hao watu wema watamjibu mfalme bwana, ni lini tulikuona mwenye njaa nasi tukakupa chakula, au ukiwa na kiu nasi tukakunywesha maji?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

così, dunque, perseguiamo le cose che contribuiscono alla pace e le cose che sono reciprocamente edificanti. smettete di abbattere l’opera di dio per amore del cibo. certo, tutte le cose sono pure, ma è dannoso per l’uomo che mangia dando occasione d’inciampo. È bene non mangiare carne né bere vino né fare alcuna cosa nella quale il tuo fratello inciampa. la fede che hai, abbila in armonia con te stesso dinanzi a dio. felice l’uomo che non giudica se stesso mediante ciò che approva. ma se ha dubbi, è già condannato qualora mangi, perché non [mangia] con fede. in realtà, tutto ciò che non è dalla fede è peccato.

Swahili

hivyo, basi, na tufuatilie mambo yanayofanya kuwe na amani na mambo ambayo ni ya kujengana. acheni kuibomoa kazi ya mungu kwa ajili ya chakula tu. ni kweli, vitu vyote ni safi, lakini ni jambo baya kwa mtu ambaye hula kukiwa na hali ya kukwaza. ni vema kutokula nyama au kunywa divai au kufanya jambo lolote ambalo ndugu yako anakwazika juu yake. imani uliyo nayo, uwe nayo kupatana na wewe mwenyewe machoni pa mungu. mwenye furaha ni mtu asiyejitia mwenyewe hukumuni kwa yale anayokubali. lakini ikiwa ana shaka, yeye akila tayari atakuwa amehukumiwa kuwa mwenye hatia, kwa sababu hali kwa imani. kwa kweli, kila kitu ambacho hakitokani na imani ni dhambi.

Last Update: 2013-03-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
8,906,628,817 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK