Results for collaboratore translation from Italian to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Italian

Swahili

Info

Italian

collaboratore

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Italian

Swahili

Info

Italian

salutate urbano, nostro collaboratore in cristo, e il mio caro stachi

Swahili

salamu zangu zimfikie urbano, mfanyakazi mwenzangu katika utumishi wa kristo; salamu zangu pia kwa rafiki yangu staku.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

paolo, prigioniero di cristo gesù, e il fratello timòteo al nostro caro collaboratore filèmone

Swahili

mimi paulo, mfungwa kwa ajili ya kristo yesu, na ndugu timotheo, ninakuandikia wewe filemoni mpendwa, mfanyakazi mwenzetu

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

vi saluta timòteo mio collaboratore, e con lui lucio, giasone, sosìpatro, miei parenti

Swahili

timotheo, mfanyakazi mwenzangu, anawasalimu. hali kadhalika lukio, yasoni, na sosipatro, wananchi wenzangu, wanawasalimu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

e abbiamo inviato timòteo, nostro fratello e collaboratore di dio nel vangelo di cristo, per confermarvi ed esortarvi nella vostra fede

Swahili

na kumtuma kwenu ndugu yetu timotheo, ambaye ni mfanyakazi mwenzetu kwa ajili ya mungu katika kuhubiri habari njema ya kristo. tulimtuma ili awaimarisheni na kuwafarijini,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

quanto a tito, egli è mio compagno e collaboratore presso di voi; quanto ai nostri fratelli, essi sono delegati delle chiese e gloria di cristo

Swahili

tito ni mwenzangu; tunafanya kazi pamoja kwa ajili yenu; lakini kuhusu hawa ndugu zetu wengine, wanaokuja pamoja nao, hao ni wajumbe wa makanisa, na utukufu kwa kristo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

global voices si è dimostrato elemento importante e puntuale quando sono scoppiate le rivolte e quando sono cadute le dittature, mentre l'eco degli avvenimenti in corso rimbalzava da un capo all'altro del mondo grazie alla nostra rete di collaboratori.

Swahili

global voices imekuwepo pale wakati mapinduzi yalipotokea, wakati tawala za kidikteta zikianguka, na matokeo ya matumizi ya mtandao yaliposambaa katika miji na mitaa ya wachangiaji wetu wanaoripoti kutoka duniani kote.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,794,490,430 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK