Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
il collettivo ha subito risposto che :
mapinduzi yake yataathiri kila sanduku la kura nchini senegal.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
matrimonio collettivo organizzato per dieci coppie a daikundi, afghanistan centrale.
harusi za pamoja zilizoandaliwa kwa ajili ya kufungisha ndoa za makumi ya maarusi huko daikundi, katikati ya afghanistan.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
e questo non resta indifferente. il collettivo sostiene di subire ogni tipo di pressioni e di minacce da parte del potere.
kundi hilo linadai kuwa limewekewa shinikizo kubwa sana, na linasema kuwa limepokea vitisho kutoka vyombo vya mamlaka.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
il collettivo è emerso dalla banlieue di dakar ed è coordinato da diversi rapper locali, come fou malade, thiat del gruppo keur gui e matador.
kundi hilo (la harakati) linatokea katika vitongoji vya dakar na linaongozwa na wanamuziki wa ughanii wa kufoka, wakiwemo fou malad, thiat (wa kikundi cha keur gui) pamoja na matador.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
thiat, uno degli animatori del gruppo, spiega che il collettivo è soprattutto un movimento di cittadini prima che di anti-wade:
thiat, mmoja wa viongozi wa kundi hilo, anaeleza kuwa kwanza na kabla ya yote kundi hilo ni kundi la wananchi, na si kundi la kumpinga wade:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
il ‘collectif des ressortissants du nord' (collettivo dei cittadini del nord o coren ) ha 303 membri nel gruppo facebook .
the 'collectif des ressortissants du nord' (umoja wa wananchi wa kaskazini) au coren una wanachama 303 katika kundi lao la facebook wakati wa kuandika makala haya.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
il collettivo di cittadini egiziani mosireen documenta instancabilmente la rivoluzione del 25 gennaio (#jan25), e gli eventi successivi, con immagini e video.
mkusanyiko wa kiraia la misri mosireen umekuwa, bila kuchoka, ukiweka kumbukumbuza mapinduzi ya januari 25 na matukio yaliyofuata baadae kwa kutumia picha na dokumentari.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
dall'inizio di marzo la mobilitazione è uscita dal web e il collettivo "y'en a marre" è diventato la punta di lancia della contestazione.
tangu mwanzoni mwa mwezi wa tatu, uanaharakati huo umeachana na ulimwengu wa mtandao na kundi linalojiita "y'en a marre" (imetosha sasa basi) sasa limegeuka na kuwa alama ya vuguvugu la upinzani.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
african voices of hope and change è un'ulteriore prova del "potere del noi", uno impegno collettivo concentrato su luoghi e persone troppo spesso dimenticate dai media tradizionali, nonostante si preveda nei prossimi anni una diseguale ma promettente crescita anche economica in tutta l'africa.
sauti ya kiafrika ya matumaini na mabadiliko ni ushahidi zaidi wanguvu ya kufanya kazi pamoja', jitihada za pamoja zinazojielekeza kwa watu na mahali ambapo mara nyingi "husahauliwa" na vyombo vikuu vya habari duniani kote, ingawa ni kweli afrika ni kubwa lakini bado kuna matumaini ya maendeleo katika miaka ijayo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting