Results for conviene translation from Italian to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Italian

Swahili

Info

Italian

voi, mogli, state sottomesse ai mariti, come si conviene nel signore

Swahili

enyi akina mama, watiini waume zenu, kwani ndivyo apendavyo bwana.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

ma di opere buone, come conviene a donne che fanno professione di pietà

Swahili

bali kwa matendo mema kama iwapasavyo wanawake wamchao mungu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

bisogna vantarsi? ma ciò non conviene! pur tuttavia verrò alle visioni e alle rivelazioni del signore

Swahili

nitajivuna basi, ingawa haifai! lakini sasa nitasema juu ya maono na ufunuo alivyonijalia bwana.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

ritornate in voi, come conviene, e non peccate! alcuni infatti dimostrano di non conoscere dio; ve lo dico a vostra vergogna

Swahili

amkeni! anzeni kuishi vema, na acheni kutenda dhambi. baadhi yenu hawamjui mungu kabisa. hii nawaambieni, ni aibu kubwa kwenu!

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

gli dissero i discepoli: «se questa è la condizione dell'uomo rispetto alla donna, non conviene sposarsi»

Swahili

wanafunzi wake wakamwambia, "ikiwa mambo ya mume na mkewe ni hivyo, ni afadhali kutooa kabisa."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Italian

finché arriviamo tutti all'unità della fede e della conoscenza del figlio di dio, allo stato di uomo perfetto, nella misura che conviene alla piena maturità di cristo

Swahili

na hivyo sote tuufikie umoja wa imani na kumjua mwana wa mungu; tuwe watu waliokomaa na kuufikia utimilifu wake kristo mwenyewe.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

e se la tua mano destra ti è occasione di scandalo, tagliala e gettala via da te: conviene che perisca uno dei tuoi membri, piuttosto che tutto il tuo corpo vada a finire nella geenna

Swahili

na kama mkono wako wa kulia unakukosesha, ukate ukautupe mbali. afadhali zaidi kupoteza kiungo kimoja cha mwili, kuliko mwili wako wote uende katika moto wa jehanamu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

ricevetela nel signore, come si conviene ai credenti, e assistetela in qualunque cosa abbia bisogno; anch'essa infatti ha protetto molti, e anche me stesso

Swahili

mpokeeni kwa ajili ya bwana kama iwapasavyo watu wa mungu. mpeni msaada wowote atakaohitaji kutoka kwenu, maana yeye amekuwa mwema sana kwa watu wengi na kwangu pia.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

se però qualcuno ritiene di non regolarsi convenientemente nei riguardi della sua vergine, qualora essa sia oltre il fiore dell'età, e conviene che accada così, faccia ciò che vuole: non pecca. si sposino pure

Swahili

kama mtu anaona kwamba hamtendei vyema mchumba wake asipomwoa, na kama tamaa zake zinamshinda, na afanye atakavyo; waoane tu; hatakuwa ametenda dhambi.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,913,779,279 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK