Results for eravamo translation from Italian to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Italian

Swahili

Info

Italian

eravamo

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Italian

Swahili

Info

Italian

non eravamo associatori!”.

Swahili

hatukuwa washirikina.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

“non eravamo con voi?” grideranno.

Swahili

watawaita wawaambie: kwani vile hatukuwa pamoja nanyi?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

eravamo complessivamente sulla nave duecentosettantasei persone

Swahili

jumla tulikuwa watu mia mbili na sabini na sita katika meli.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

già eravamo sottomessi a lui prima che giungesse”.

Swahili

hakika sisi kabla yake tulikuwa ni waislamu, tulio nyenyekea.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

“per allah, certamente eravamo in errore evidente,

Swahili

wallahi! kwa yakini tulikuwa katika upotovu ulio dhaahiri,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

risponderanno: “non eravamo tra coloro che eseguivamo l'orazione,

Swahili

waseme: hatukuwa miongoni walio kuwa wakisali.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

noi vi abbiamo traviato, perché in verità noi stessi eravamo traviati”.

Swahili

tulikupotezeni kwa sababu sisi wenyewe tulikuwa wapotovu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

eravamo qui da alcuni giorni, quando giunse dalla giudea un profeta di nome agabo

Swahili

baada ya kukaa huko siku kadhaa, nabii mmoja aitwaye agabo alifika kutoka yudea.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

risponderanno: “nostro signore, ha vinto la disgrazia, eravamo gente traviata.

Swahili

mola wetu mlezi! tulizidiwa na uovu wetu na tukawa watu tulio potea.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

e fra i dèmoni alcuni si tuffavano per lui e compivano altre opere ancora; eravamo noi a sorvegliarli.

Swahili

na pia mashet'ani wanao mpigia mbizi na kufanya kazi nyenginezo. na sisi tulikuwa walinzi wao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

da morti che eravamo per i peccati, ci ha fatti rivivere con cristo: per grazia infatti siete stati salvati

Swahili

hata, ingawa tulikuwa tumekufa kwa sababu ya dhambi, alitufanya hai pamoja na kristo. kwa neema ya mungu ninyi mmeokolewa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

quando giunge poi l'ausilio del loro signore, dicono: “noi eravamo con voi!”.

Swahili

na inapo kuja nusura kutoka kwa mola wako mlezi husema: hakika sisi tulikuwa pamoja nanyi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

mohammad gusnam ha fatto lo stesso: "è dura. da pastori ci sentivamo dei principi, eravamo orgogliosi.

Swahili

mohammed gusnam alikuwa mmoja wa watu hawa: “ ni vigumu . kama wafugaji tulikuwa kama wana wa mfalme, wenye kiburi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Italian

dissero: “non è per nostra volontà che abbiamo mancato alla promessa. eravamo appesantiti dai gioielli di quella gente.

Swahili

wakasema: sisi hatukuvunja miadi yako kwa khiari yetu, lakini tulibebeshwa mizigo ya mapambo ya watu, basi tukaitupa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

quando infatti eravamo nella carne, le passioni peccaminose, stimolate dalla legge, si scatenavano nelle nostre membra al fine di portare frutti per la morte

Swahili

maana, tulipokuwa tukiishi kimaumbile tu, tamaa mbaya zikichochewa na sheria, zilifanya kazi katika miili yetu, na kuchuma pato la kifo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

il primo giorno della settimana ci eravamo riuniti a spezzare il pane e paolo conversava con loro; e poiché doveva partire il giorno dopo, prolungò la conversazione fino a mezzanotte

Swahili

jumamosi jioni, tulikutana ili kumega mkate. kwa vile paulo alikuwa amekusudia kuondoka kesho yake, aliwahutubia watu na kuendelea kuongea nao hadi usiku wa manane.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

se infatti, quando eravamo nemici, siamo stati riconciliati con dio per mezzo della morte del figlio suo, molto più ora che siamo riconciliati, saremo salvati mediante la sua vita

Swahili

maana, tulipokuwa bado adui zake, mungu alitupatanisha naye kwa kifo cha mwanae. na kwa vile sasa tumepatanishwa naye, ni dhahiri zaidi kwamba tutaokolewa kwa uzima wa kristo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

noi poi, che eravamo partiti per nave, facemmo vela per asso, dove dovevamo prendere a bordo paolo; così infatti egli aveva deciso, intendendo di fare il viaggio a piedi

Swahili

sisi tulipanda meli tukatangulia kwenda aso ambako tungemchukua paulo. ndivyo alivyopanga; maana alitaka kufika huko kwa kupitia nchi kavu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

più tardi sentendo il suono dei passi, ci eravamo avvicinate tutte allo spioncino per vedere se saremmo riuscite a vedere ciò che stava succedendo, mahlet era stata appena portata in un'altra cella.

Swahili

baada ya muda kidogo, tulisikia mtu akitembea na ndipo sote tulikusanyika na kuchungulia kupitia kwenye kauwazi kadogo ili kujua kilichokuwa kikiendelea, nilipomuona mahlet akipelekwa kwenye sero nyingine….

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

anche noi un tempo eravamo insensati, disobbedienti, traviati, schiavi di ogni sorta di passioni e di piaceri, vivendo nella malvagità e nell'invidia, degni di odio e odiandoci a vicenda

Swahili

maana, wakati mmoja sisi tulikuwa wapumbavu, wakaidi na wapotovu. tulikuwa watumwa wa tamaa na anasa za kila aina. tuliishi maisha ya uovu na wivu; watu walituchukia nasi tukawachukia.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,780,743,050 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK