From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
grazie di cuore e arrivederci
asante na kwaheri
Last Update: 2021-10-30
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
e preso un calice, rese grazie e disse: «prendetelo e distribuitelo tra voi
kisha akatwaa kikombe, akashukuru akasema, "pokeeni, mgawanye ninyi kwa ninyi.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
È grazie alla sua misericordia, che stabilisce per voi la notte e il giorno affinché possiate riposare e procurarvi la sua grazia e affinché gli siate riconoscenti”.
na ni katika rehema zake amekufanyieni usiku na mchana mpate kupumzika humo na mtafute fadhila zake, na ili mpate kushukuru.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
grazia e pace sia concessa a voi in abbondanza nella conoscenza di dio e di gesù signore nostro
nawatakieni neema na amani tele katika kumjua mungu na yesu bwana wetu.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
perché la legge fu data per mezzo di mosè, la grazia e la verità vennero per mezzo di gesù cristo
maana mungu alitoa sheria kwa njia ya mose, lakini neema na kweli vimekuja kwa njia ya kristo.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
annunciano la novella del beneficio di allah e della grazia e che allah non lascia andar perduto il compenso dei credenti.
wanashangilia neema na fadhila za mwenyezi mungu, na ya kwamba mwenyezi mungu hapotezi ujira wa waumini,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
coloro che credono in allah e a lui si aggrappano, li farà entrare nella sua misericordia e nella sua grazia e li guiderà sulla retta via.
ama wale walio muamini mwenyezi mungu, na wakashikamana naye, basi atawatia katika rehema yake na fadhila, na atawaongoa kwenye njia iliyo nyooka.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
a tito, mio vero figlio nella fede comune: grazia e pace da dio padre e da cristo gesù, nostro salvatore
ninakuandikia wewe tito, mwanangu wa kweli katika imani tunayoshiriki. nakutakia neema na amani kutoka kwa mungu baba, na kutoka kwa kristo yesu, mkombozi wetu.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
oggi ho reso perfetta la vostra religione, ho completato per voi la mia grazia e mi è piaciuto darvi per religione l'islàm.
leo nimekukamiliishieni dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni uislamu uwe ndiyo dini.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
vi raccomando febe, nostra sorella, che è ministro della congregazione di cencrea, affinché l’accogliate nel signore in modo degno dei santi, e l’assistiate in qualunque cosa essa abbia bisogno di voi, poiché essa stessa ha mostrato di difendere molti, sì, me stesso. date i miei saluti a prisca e aquila, miei compagni d’opera in cristo gesù, che hanno rischiato il proprio collo per la mia anima, ai quali non solo io ma anche tutte le congregazioni delle nazioni rendono grazie; e salutate la congregazione che è nella loro casa. salutate il mio diletto epeneto, che è una primizia dell’asia per cristo. salutate maria, che ha compiuto per voi molte fatiche. salutate andronico e giunia miei parenti e compagni di prigionia, che sono uomini noti fra gli apostoli e che sono stati uniti a cristo più a lungo di me.
nampendekeza kwenu fibi dada yetu, ambaye ni mhudumu wa kutaniko lililo katika kenkrea, ili kwamba mkamkaribishe katika bwana kwa njia inayowastahili watakatifu, na kwamba mkamsaidie katika jambo lolote ambalo huenda akawahitaji ninyi, kwa maana yeye mwenyewe pia alikuwa mtetezi wa wengi, ndiyo, wangu mimi mwenyewe. wapeni salamu zangu priska na akila wafanyakazi wenzangu katika kristo yesu, ambao wamehatarisha shingo zao wenyewe kwa ajili ya nafsi yangu, ambao si mimi tu bali pia makutaniko yote ya mataifa yanawashukuru; na salimuni kutaniko lililo katika nyumba yao. salimuni epaineto mpendwa wangu, aliye matunda ya kwanza ya asia kwa ajili ya kristo. salimuni maria, ambaye amefanya kazi nyingi kwa ajili yenu. salimuni androniko na yunia jamaa zangu na mateka wenzangu, ambao ni watu maarufu kati ya mitume na ambao wamekuwa katika muungano na kristo muda mrefu zaidi ya mimi.