Results for mandarono translation from Italian to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Italian

Swahili

Info

Italian

giunse una carovana e mandarono uno di loro ad attingere acqua.

Swahili

ukafika msafara, wakamtuma mchota maji wao, naye akatumbukiza ndoo yake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

gli mandarono però alcuni farisei ed erodiani per coglierlo in fallo nel discorso

Swahili

basi, baadhi ya mafarisayo na wafuasi wa kikundi cha herode walitumwa ili wamtege yesu kwa maneno yake.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

giunsero sua madre e i suoi fratelli e, stando fuori, lo mandarono a chiamare

Swahili

mama yake yesu na ndugu zake walifika hapo, wakasimama nje, wakampelekea ujumbe kutaka kumwona.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

anche alcuni dei capi della provincia, che gli erano amici, mandarono a pregarlo di non avventurarsi nel teatro

Swahili

maofisa wengine wa huo mkoa wa asia, waliokuwa rafiki zake, walimtumia paulo ujumbe wakimsihi asijihatarishe kwa kwenda kwenye ukumbi wa michezo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

i farisei intanto udirono che la gente sussurrava queste cose di lui e perciò i sommi sacerdoti e i farisei mandarono delle guardie per arrestarlo

Swahili

mafarisayo waliwasikia watu wakinong'ona maneno hayo juu ya yesu. basi, wao pamoja na makuhani wakuu wakawatuma walinzi wamtie nguvuni.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

ma i suoi cittadini lo odiavano e gli mandarono dietro un'ambasceria a dire: non vogliamo che costui venga a regnare su di noi

Swahili

lakini wananchi wenzake walimchukia na hivyo wakatuma wajumbe waende wakaseme: hatumtaki huyu atutawale.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

postisi in osservazione, mandarono informatori, che si fingessero persone oneste, per coglierlo in fallo nelle sue parole e poi consegnarlo all'autorità e al potere del governatore

Swahili

basi, wakawa wanatafuta wakati wa kufaa. wakawahonga watu fulani wajisingizie kuwa wema, wakawatuma wamnase yesu kwa maswali, na hivyo waweze kumtia nguvuni na kumpeleka kwa wakuu wa serikali.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

e poiché lidda era vicina a giaffa i discepoli, udito che pietro si trovava là, mandarono due uomini ad invitarlo: «vieni subito da noi!»

Swahili

yopa si mbali sana na luda; kwa hiyo wafuasi waliposikia kwamba petro alikuwa luda, wakawatuma watu wawili kwake na ujumbe: "njoo kwetu haraka iwezekanavyo."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Italian

dopo la lettura della legge e dei profeti, i capi della sinagoga mandarono a dire loro: «fratelli, se avete qualche parola di esortazione per il popolo, parlate!»

Swahili

baada ya masomo katika kitabu cha sheria ya mose na katika maandiko ya manabii, wakuu wa lile sunagogi waliwapelekea ujumbe huu: "ndugu, kama mnalo jambo la kuwaambia watu ili kuwapa moyo, semeni."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,920,113,307 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK