From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
e una donna che abbia il marito non credente, se questi consente a rimanere con lei, non lo ripudi
na, kama mwanamke mkristo anaye mume asiyeamini, na huyo mwanamume akakubali kuendelea kuishi naye, basi, asimpe talaka mumewe.
e qualora si separi, rimanga senza sposarsi o si riconcili con il marito - e il marito non ripudi la moglie
lakini kama akiachana naye, basi abaki bila kuolewa; ama la, apatanishwe na mume wake. mume naye asimpe talaka mkewe.
e che sai tu, donna, se salverai il marito? o che ne sai tu, uomo, se salverai la moglie
wewe mama mkristo, unawezaje kuwa na hakika kwamba hutaweza kumwokoa mume wako? au wewe mume mkristo, unawezaje kuwa na hakika kwamba hutaweza kumwokoa mkeo?
quindi anche voi, ciascuno da parte sua, ami la propria moglie come se stesso, e la donna sia rispettosa verso il marito
lakini yanawahusu ninyi pia: kila mume lazima ampende mkewe kama nafsi yake mwenyewe, naye mke anapaswa kumstahi mumewe.
infatti, come nei giorni che precedettero il diluvio mangiavano e bevevano, prendevano moglie e marito, fino a quando noè entrò nell'arca
maana nyakati hizo, kabla ya gharika kuu, watu walikuwa wakila na kunywa, wakioa na kuolewa, mpaka noa alipoingia ndani ya ile safina.
chiunque ripudia la propria moglie e ne sposa un'altra, commette adulterio; chi sposa una donna ripudiata dal marito, commette adulterio
"yeyote anayemwacha mke wake na kuoa mwingine, anazini; na yeyote anayemwoa mwanamke aliyepewa talaka, anazini.
d'improvviso cadde ai piedi di pietro e spirò. quando i giovani entrarono, la trovarono morta e, portatala fuori, la seppellirono accanto a suo marito
mara safira akaanguka mbele ya miguu ya petro, akafa. wale vijana walipoingia, walimkuta amekwisha kufa; hivyo wakamtoa nje, wakamzika karibu na mume wake.
e avvicinatisi dei farisei, per metterlo alla prova, gli domandarono: «e' lecito ad un marito ripudiare la propria moglie?»
basi, mafarisayo wakamwendea, na kwa kumjaribu wakamwuliza, "je, ni halali mtu kumpa talaka mkewe?"
si era sposata a caracas e si era stabilita in quella città insieme a suo marito e ai due figli. dopo che mio cugino più giovane è morto in un incidente automobilistico, mia madre e sua sorella hanno rafforzato il loro legame e non hanno mai permesso alle distanze di dissuaderle dal rimanere in contatto.
dada mkubwa wa mama yangu alihamia venezuela miaka ya 1950. aliolewa huko caracas na aliishi huko na mumewe pamoja na watot wao wawili wa kiume. mara baada ya binamu wangu mdogo kufariki katika ajali ya gari, mama yangu na dada yake waliimarisha ukaribu wao, na kamwe hawakuruhusu umbali uwatenganishe.
sta scritto infatti: grida nell'allegria tu che non conosci i dolori del parto, perché molti sono i figli dell'abbandonata, più di quelli della donna che ha marito
maana imeandikwa: "furahi, ewe uliye tasa usiyezaa; paaza sauti wewe usiyepata kujifungua mtoto; maana watoto wa yule aliyeachwa ni wengi zaidi kuliko wa yule aliye na mume."
di conseguenza la donna vide che l’albero era buono come cibo e che era qualcosa che metteva voglia agli occhi, sì, l’albero era desiderabile da guardare. prendeva dunque del suo frutto e lo mangiava. ne diede poi anche a suo marito quando fu con lei ed egli lo mangiava. quindi gli occhi di entrambi si aprirono e cominciarono ad accorgersi di essere nudi. perciò cucirono delle foglie di fico e se ne fecero delle cinture per coprirsi i lombi.
basi mwanamke akaona kwamba mti huo ulikuwa mzuri kwa chakula na kwamba ulikuwa kitu cha kutamanika kwa macho, ndiyo, mti huo ulikuwa wenye kupendeza kuutazama. kwa hiyo akaanza kuchukua kati ya matunda yake akala. baadaye akampa mume wake pia alipokuwa pamoja naye, naye akaanza kula. ndipo macho yao wote wawili yakafunguliwa nao wakaanza kutambua kwamba walikuwa uchi. kwa hiyo wakashona majani ya mtini ya kujifunika kiunoni.