Results for modestia translation from Italian to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Italian

Swahili

Info

Italian

essa potrà essere salvata partorendo figli, a condizione di perseverare nella fede, nella carità e nella santificazione, con modestia

Swahili

hata hivyo, mwanamke ataokolewa kwa kupata watoto, kama akidumu katika imani, upendo, utakatifu na unyofu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

il vostro amore sia senza ipocrisia. aborrite ciò che è malvagio, aderite a ciò che è buono. con amore fraterno abbiate tenero affetto gli uni per gli altri. nel mostrare onore gli uni agli altri prevenitevi. non siate indolenti nelle vostre faccende. siate ferventi nello spirito. siate schiavi di geova. rallegratevi nella speranza. perseverate nella tribolazione. siate costanti nella preghiera. condividete con i santi secondo i loro bisogni. seguite il corso dell’ospitalità. continuate a benedire quelli che vi perseguitano; benedite e non maledite. rallegratevi con quelli che si rallegrano; piangete con quelli che piangono. abbiate verso gli altri i medesimi sentimenti che avete verso voi stessi; non pensate alle cose alte, ma siate attirati dalle cose modeste. non divenite discreti ai vostri propri occhi.

Swahili

upendo wenu na uwe bila unafiki. chukieni maovu, shikamaneni na mema. katika upendo wa kindugu iweni na upendo mwororo kwa mtu na mwenzake. katika kuonyeshana heshima iweni wa kwanza. msiwe wavivu katika kazi zenu. wakeni roho. mtumikieni yehova. shangilieni katika tumaini. vumilieni chini ya dhiki. dumuni katika sala. shirikini pamoja na watakatifu kulingana na mahitaji yao. fuateni mwendo wa ukaribishaji-wageni. endeleeni kuwabariki wale wanaowatesa; muwe mkibariki wala msiwe mkilaani. shangilieni pamoja na watu wanaoshangilia; lieni pamoja na watu wanaolia. mwafikirie wengine kama vile mnavyojifikiria wenyewe; msiwe mkikaza akili juu ya mambo makuu, bali mwongozwe na mambo ya hali ya chini. msiwe wenye busara machoni penu wenyewe.

Last Update: 2013-03-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,941,856,875 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK