From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
oggetto
mhusika
Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 1
Quality:
oggetto figlio 1
mtoto kifaa 1
Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 2
Quality:
non è un oggetto lanciabile
kifa hiki hakizinduliki
Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 1
Quality:
consiglio per l'oggetto 1
dokezo la kifaa cha 1
Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 2
Quality:
se si elimina un oggetto, questo è perduto per sempre.
ikiwa utafuta kitu chochote, hicho kitakuwa kimepotea moja kwa moja.
Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 1
Quality:
sopporteremo con pazienza [le persecuzioni] di cui ci farete oggetto.
na hapana shaka sisi tutayavumilia hayo maudhi mnayo tuudhi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
non come oggetto di passioni e libidine, come i pagani che non conoscono dio
na si kwa tamaa mbaya kama watu wa mataifa mengine wasiomjua mungu.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
quando fate la chiamata alla preghiera, essa è per loro oggetto di burla e derisione.
na mnapo adhinia sala wao wanaichukulia maskhara na mchezo.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
vide il cielo aperto e un oggetto che discendeva come una tovaglia grande, calata a terra per i quattro capi
aliona mbingu zimefunguliwa na kitu kama shuka kubwa inateremshwa chini ikiwa imeshikwa pembe zake nne.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
molti siti archeologici in siria sono sistematicamente oggetto di scavi clandestini da parte di gruppi ben organizzati, spesso armati.
maeneo mengi ya kihistoria nchini syria yamekuwa yakilengwa katika mashambulizi yanayofanywa na wanamgambo ambao mara nyingi huwa na silaha.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
anche i messaggeri che vennero prima di te, furono oggetto di scherno. quello di cui si burlavano, oggi li avvolge.
na hakika mitume walio kabla yako walifanyiwa kejeli, lakini walio wafanyia kejeli wakaja kuzungukwa na yale yale waliyo kuwa wao wanayafanyia kejeli.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
quando chiedete ad esse un qualche oggetto, chiedetelo da dietro una cortina: ciò è più puro per i vostri cuori e per i loro.
na mnapo wauliza wakeze haja waulizeni nyuma ya mapazia. hivyo ndio usafi zaidi kwa nyoyo zenu na nyoyo zao.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
eseguite l'orazione, versate la decima e obbedite all'inviato, sì che possiate essere oggetto della misericordia.
na shikeni sala, na toeni zaka, na mt'iini mtume, ili mpate kurehemewa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
ad essere prudenti, caste, dedite alla famiglia, buone, sottomesse ai propri mariti, perché la parola di dio non debba diventare oggetto di biasimo
wawe na kiasi na safi, waangalie vizuri mambo ya nyumbani, na wawatii waume zao, ili ujumbe wa mungu usije ukadharauliwa.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
quando si dice loro: “temete ciò che vi sta dinnanzi e quello che è dietro di voi, affinché possiate essere oggetto di misericordia”,
na wanapo ambiwa: jilindeni na yalioko mbele yenu na yalioko nyuma yenu, ili mpate kurehemewa...
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
«io mi trovavo in preghiera nella città di giaffa e vidi in estasi una visione: un oggetto, simile a una grande tovaglia, scendeva come calato dal cielo per i quattro capi e giunse fino a me
"siku moja nikiwa nasali mjini yopa, niliona maono; niliona kitu kama shuka kubwa likishushwa chini kutoka mbinguni likiwa limeshikwa pembe zake nne, likawekwa kando yangu.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ogni anima sia sottoposta alle autorità superiori, poiché non c’è autorità se non da dio; le autorità esistenti sono poste nelle loro rispettive posizioni da dio. perciò chi si oppone all’autorità si mette contro la disposizione di dio; quelli che si mettono contro di essa ne riceveranno giudizio. poiché quelli che governano sono oggetto di timore, non per l’opera buona, ma per la cattiva. non vuoi dunque aver timore dell’autorità? continua a fare il bene, e ne avrai lode; poiché essa è ministro di dio per te per il bene. ma se fai il male, abbi timore: poiché non senza scopo essa porta la spada; poiché è ministro di dio, vendicatrice per esprimere ira su chi pratica il male.
kila nafsi na ijitiishe kwa mamlaka zilizo kubwa, kwa maana hakuna mamlaka isipokuwa kwa njia ya mungu; mamlaka zilizopo zimesimamishwa na mungu katika vyeo vyao vya kadiri. kwa hiyo yeye anayepinga mamlaka amechukua msimamo kupingana na mpango wa mungu; wale ambao wamechukua msimamo kupingana nao watapokea hukumu juu yao wenyewe. kwa maana wale wanaotawala ni kitu cha kuogopesha, si kwa kitendo chema, bali kwa kibaya. basi, je, unataka usiogope hiyo mamlaka? endelea kufanya mema, nayo itakusifu wewe; kwa maana hiyo ni mhudumu wa mungu kwako kwa faida yako. lakini ikiwa unafanya mabaya, ogopa: kwa maana haichukui upanga bila kusudi; kwa maana hiyo ni mhudumu wa mungu, mlipiza-kisasi ili kuonyesha ghadhabu juu ya yeye anayefanya mabaya.