Results for partirò translation from Italian to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Italian

Swahili

Info

Italian

partirò

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Italian

Swahili

Info

Italian

io adesso partirò per l'italia partirò per l'italia

Swahili

google tafsiri huduma

Last Update: 2013-01-14
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

e perciò fui molte volte impedito di venire da voi. ma ora che in queste regioni non ho più territorio [intatto], e avendo da alcuni anni un vivo desiderio di venire da voi quando sarò diretto in spagna, spero, soprattutto, allorché sarò in viaggio per andarvi, di vedervi e di esservi scortato da voi per un tratto dopo essermi prima in qualche misura saziato della vostra compagnia. ma ora sto per fare il viaggio a gerusalemme per servire i santi. poiché quelli della macedonia e dell’acaia hanno avuto piacere di condividere le loro cose mediante una contribuzione per i poveri dei santi che sono a gerusalemme. sì, hanno avuto piacere di farlo, nondimeno erano loro debitori; poiché se le nazioni hanno partecipato alle loro cose spirituali, esse devono anche servire pubblicamente a questi le cose per il corpo carnale. quindi dopo aver terminato questo e avere sicuramente portato loro questo frutto, partirò per la spagna passando da voi. inoltre, so che quando verrò da voi verrò con una piena misura di benedizione da parte di cristo.

Swahili

kwa hiyo pia nilizuiwa mara nyingi nisiwafikie ninyi. lakini sasa kwa kuwa sina tena eneo lisiloguswa katika maeneo haya, na kwa miaka kadhaa nikiwa nimetamani kuwafikia ninyi wakati nitakapokuwa nimeenda uhispania, natumaini, zaidi ya yote, nitakapokuwa safarini kwenda huko, niwaangalie ninyi kidogo nanyi mnisindikize kidogo kwenda huko baada ya mimi kutosheka kwa kiasi fulani na ushirika wenu. lakini sasa nakaribia kusafiri kwenda yerusalemu ili kuwahudumia watakatifu. kwa maana wale walio katika makedonia na akaya wamependezwa kushiriki vitu vyao kwa kuwatolea mchango fulani walio maskini kati ya watakatifu katika yerusalemu. kweli, wamependezwa kufanya hivyo, na bado walikuwa wadeni kwao; kwa maana ikiwa mataifa wameshiriki mambo yao ya kiroho, wao pia wana deni la kuwahudumia hadharani kwa vitu ambavyo ni kwa ajili ya mwili. kwa sababu hiyo nikiisha kumaliza hili na kuwafikishia salama tunda hili, nitaondoka nikipitia kwenu kwenda uhispania. zaidi ya hayo, najua kwamba nitakapokuja kwenu nitakuja nikiwa na kipimo kamili cha baraka kutoka kwa kristo.

Last Update: 2013-03-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
7,775,731,655 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK