Results for per sempre insieme translation from Italian to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Italian

Swahili

Info

Italian

per sempre insieme

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Italian

Swahili

Info

Italian

nessun problema per sempre insieme

Swahili

acuna matata pamoja milele

Last Update: 2022-07-08
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

in cui rimarranno per sempre.

Swahili

watadumu humo milele.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

periscano per sempre gli ingiusti.

Swahili

ikapotelea mbali kaumu ya madhaalimu!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

periscano per sempre le genti che non credono!

Swahili

wakapotelea mbali watu wasio amini.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

se si elimina un oggetto, questo è perduto per sempre.

Swahili

ikiwa utafuta kitu chochote, hicho kitakuwa kimepotea moja kwa moja.

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

egli invece, poiché resta per sempre, possiede un sacerdozio che non tramonta

Swahili

lakini yesu si kama wao, yeye anaishi milele; ukuhani wake hauondoki kwake.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

non ne sentiranno il fragore e godranno per sempre quel che le loro anime desiderano.

Swahili

hawatausikia mvumo wake, na wao watadumu katika yale zinayo yatamani nafsi zao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

io pregherò il padre ed egli vi darà un altro consolatore perché rimanga con voi per sempre

Swahili

nami nitamwomba baba naye atawapeni msaidizi mwingine, atakayekaa nanyi milele.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

forse per questo è stato separato da te per un momento perché tu lo riavessi per sempre

Swahili

labda onesimo aliondoka kwako kwa kitambo tu, kusudi uweze tena kuwa naye daima.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

come aveva promesso ai nostri padri, ad abramo e alla sua discendenza, per sempre»

Swahili

kama alivyowaahidia wazee wetu abrahamu na wazawa wake hata milele."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Italian

dove gesù è entrato per noi come precursore, essendo divenuto sommo sacerdote per sempre alla maniera di melchìsedek

Swahili

yesu ametangulia kuingia humo kwa niaba yetu, na amekuwa kuhani mkuu milele, kufuatana na utaratibu wa ukuhani wa melkisedeki.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

e i miscredenti che smentiscono i nostri segni, sono i compagni del fuoco, in cui rimarranno per sempre.

Swahili

na wenye kukufuru na kuzikanusha ishara zetu, hao ndio watakao kuwa watu wa motoni, humo watadumu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

nelson mandela non è più tra noi, ma la sua eredità fatta di sacrificio, perseveranza e libertà durerà per sempre.

Swahili

nelson mandela hayuko tena kimwili kati yetu, lakini urithi wake wa kujitolea, uvumilivu na uhuru utashamiri milele.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

coloro che disobbediranno ad allah e al suo messaggero, avranno il fuoco dell'inferno e vi rimarranno in perpetuo per sempre.

Swahili

na wenye kumuasi mwenyezi mungu na mtume wake, basi hakika hao watapata moto wa jahannamu wadumu humo milele.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

coloro invece che temono il loro signore, avranno i giardini dove scorrono i ruscelli e vi rimarranno per sempre, dono da parte di allah.

Swahili

lakini walio mcha mola wao mlezi watapata mabustani yanayo pita mito kati yake. watadumu humo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

ed è appunto per quella volontà che noi siamo stati santificati, per mezzo dell'offerta del corpo di gesù cristo, fatta una volta per sempre

Swahili

kwa kuwa yesu kristo alitimiza mapenzi ya mungu, sisi tunatakaswa dhambi zetu kwa ile dhabihu ya mwili wake aliyotoa mara moja tu, ikatosha.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

a chi avrà creduto in allah e avrà compiuto il bene, egli cancellerà i peccati e lo introdurrà nei giardini dove scorrono i ruscelli, in cui rimarrà in perpetuo e per sempre.

Swahili

na anaye muamini mwenyezi mungu na akatenda mema, atamfutia maovu yake, na atamuingiza katika mabustani yenye kupitiwa kati yake na mito, watadumu humo milele.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

anche cristo è morto una volta per sempre per i peccati, giusto per gli ingiusti, per ricondurvi a dio; messo a morte nella carne, ma reso vivo nello spirito

Swahili

kwa maana kristo mwenyewe alikufa kwa ajili ya dhambi zenu; alikufa mara moja tu na ikatosha, mtu mwema kwa ajili ya waovu, ili awapeleke ninyi kwa mungu. aliuawa kimwili lakini akafanywa hai kiroho;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

il solo che possiede l'immortalità, che abita una luce inaccessibile; che nessuno fra gli uomini ha mai visto né può vedere. a lui onore e potenza per sempre. amen

Swahili

yeye peke yake anaishi milele, katika mwanga usioweza kukaribiwa na mtu. hakuna mtu aliyepata kumwona au awezaye kumwona. kwake iwe heshima na uwezo wa milele! amina.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

o profondità della ricchezza e della sapienza e della conoscenza di dio! come sono imperscrutabili i suoi giudizi e impenetrabili le sue vie! poiché “chi ha conosciuto la mente di geova, o chi è divenuto suo consigliere?” o: “chi gli ha dato per primo, così che gli debba essere reso?” poiché da lui e mediante lui e per lui sono tutte le cose. a lui sia la gloria per sempre. amen.

Swahili

lo! jinsi kilivyo kina cha utajiri wa mungu na hekima na ujuzi! jinsi hukumu zake zisivyochunguzika na njia zake zisivyotafutika! kwa maana “ni nani amekuja kuijua akili ya yehova, au ni nani amekuwa mshauri wake?” au, “ni nani amempa yeye kwanza, hivi kwamba iwe lazima arudishiwe?” kwa sababu vitu vyote ni kutoka kwake na kwa yeye na kwa ajili yake. kwake yeye na kuwe na utukufu milele. amina.

Last Update: 2013-03-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
7,780,071,539 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK