Results for perdizione translation from Italian to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Italian

Swahili

Info

Italian

perdizione

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Italian

Swahili

Info

Italian

incontreranno la perdizione.

Swahili

basi watakuja kuta malipo ya ubaya.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

questa è la perdizione totale.

Swahili

huko ndiko kupotelea mbali!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

ebbene, satana vuole precipitarli nella perdizione.

Swahili

na shet'ani anataka kuwapotezelea mbali.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

ecco coloro che sono stati abbandonati alla perdizione per quel che avranno fatto.

Swahili

hao ndio walio angamizwa kwa sababu ya yale waliyo yachuma.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

ma chi attribuisce consimili ad allah, si perde lontano, nella perdizione.

Swahili

na anaye mshirikisha mwenyezi mungu basi huyo amepotea upotovu wa mbali.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

hanno scambiato la retta via con la perdizione e l'assoluzione con il castigo.

Swahili

hao ndio walio nunua upotofu badala ya uwongofu, na adhabu badala ya maghfira.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

per questo trovano strano che voi non corriate insieme con loro verso questo torrente di perdizione e vi oltraggiano

Swahili

sasa, watu hao wasiomjua mungu wanashangaa wanapoona kwamba hamwandamani nao tena katika hali ya kuishi vibaya, na hivyo wanawatukaneni.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

sì, coloro che non credono e mettono ostacoli sulla via di allah, si perdono lontano nella perdizione.

Swahili

hakika walio kufuru na wakazuilia njia ya mwenyezi mungu, wamekwisha potelea mbali.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

non li hai visti, coloro che scambiano il favore di allah con la miscredenza e trascinano il loro popolo nella dimora della perdizione,

Swahili

hebu hukuwaona wale walio badilisha neema ya mwenyezi mungu kwa kufuru, na wakawafikisha watu wao kwenye nyumba ya maangamizo?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

guida gli uni, mentre altri meritano la perdizione per aver preso i diavoli a patroni al posto di allah e credono di essere loro i ben guidati.

Swahili

hali ya kuwa kundi moja amelihidi, na kundi jengine limethibitikiwa na upotofu. kwa hakika hao waliwafanya mashet'ani kuwa ndio marafiki walinzi badala ya mwenyezi mungu, na wanadhani kuwa wao wameongoka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

chi non crede in allah, nei suoi angeli, nei suoi libri e nei suoi messaggeri e al giorno ultimo, si perde lontano nella perdizione.

Swahili

na anaye mkataa mwenyezi mungu, na malaika wake, na vitabu vyake, na mitume wake, na siku ya akhera, basi huyo amekwisha potelea mbali.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

essi ne hanno traviati molti; [signore,] non accrescere gli ingiusti altro che nella perdizione”.

Swahili

na hao walikwisha wapoteza wengi, wala usiwazidishie walio dhulumu ila kupotea.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

nessuno vi inganni in alcun modo! prima infatti dovrà avvenire l'apostasia e dovrà esser rivelato l'uomo iniquo, il figlio della perdizione

Swahili

msikubali kudanganywa na mtu yeyote kwa namna yoyote ile. maana siku hiyo haitakuja mpaka kwanza ule uasi mkuu utokee na yule mwovu aonekane ambaye mwisho wake ni kuangamizwa kabisa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

li condurrò alla perdizione, li illuderò con vane speranze, darò loro ordini ed essi taglieranno gli orecchi degli armenti; io darò gli ordini e loro snatureranno la creazione di allah”.

Swahili

na hakika nitawapoteza na nitawatia matamanio, na nitawaamrisha, basi watakata masikio ya wanyama, na nitawaamrisha, basi watabadili aliyo umba mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

quand'anche vedessero ogni segno non crederanno; se vedessero la retta via, non la seguirebbero; se vedessero il sentiero della perdizione, lo sceglierebbero come loro via.

Swahili

na wao wakiona kila ishara hawaiamini. wakiiona njia ya uwongofu hawaishiki kuwa ndiyo njia; lakini wakiiona njia ya upotofu wanaishika kuwa ndiyo njia.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

la bestia che hai visto era ma non è più, salirà dall'abisso, ma per andare in perdizione. e gli abitanti della terra, il cui nome non è scritto nel libro della vita fin dalla fondazione del mondo, stupiranno al vedere che la bestia era e non è più, ma riapparirà

Swahili

huyo mnyama uliyemwona alikuwa hai hapo awali, lakini sasa amekufa. hata hivyo, karibu sana atapanda kutoka shimoni kuzimu, lakini ataangamizwa. wanaoishi duniani watashangaa; naam, watu wote ambao majina yao hayakupata kuandikwa katika kitabu cha uzima tangu mwanzo wa ulimwengu, watashangaa kumwona huyo mnyama ambaye hapo awali, aliishi, kisha akafa na sasa anatokea tena!

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,180,109,110 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK