Results for promessa;919046@ translation from Italian to Swahili

Italian

Translate

promessa;919046@

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Italian

Swahili

Info

Italian

promessa di allah.

Swahili

ni ahadi ya mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

promessa di allah!

Swahili

ndiyo ahadi ya mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

la promessa è un debito

Swahili

ahadi ni deni

Last Update: 2022-05-30
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

promessa veritiera fatta a loro.

Swahili

miadi ya kweli hiyo walio ahidiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

allah non manca alla sua promessa.

Swahili

mwenyezi mungu havunji ahadi yake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

allah certamente non manca alla sua promessa.

Swahili

hakika mwenyezi mungu havunji miadi yake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

in verità, tu non manchi alla promessa”.

Swahili

hakika wewe huvunji miadi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

la promessa del nostro signore si realizza".

Swahili

hakika ahadi ya mola wetu mlezi lazima itimizwe!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Italian

o uomini, la promessa di allah è verità.

Swahili

enyi watu! hakika ahadi ya mwenyezi mungu ni ya kweli.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

a lui tutti ritornerete, promessa di allah veritiera.

Swahili

kwake yeye tu ndio marejeo yenu nyote. hii ni ahadi ya mwenyezi mungu iliyo ya kweli.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

credi, ché la promessa di allah è veritiera”.

Swahili

hakika ahadi ya mwenyezi mungu ni kweli. na yeye husema: hayakuwa haya ila ni visa vya watu wa kale.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

non credere che allah manchi alla promessa fatta ai suoi messaggeri.

Swahili

basi usimdhanie mwenyezi mungu kuwa ni mwenye kuwavunjia ahadi yake mitume wake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

dove rimarranno in perpetuo: questa in verità la promessa di allah.

Swahili

watadumu humo - ni ahadi ya mwenyezi mungu ya kweli.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

ti chiedono di affrettare il castigo. giammai allah mancherà alla sua promessa.

Swahili

na wanakuhimiza ulete adhabu, lakini mwenyezi mungu hatakwenda kinyume na ahadi yake kabisa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

in verità, era sincero nella sua promessa, era un messaggero, un profeta.

Swahili

bila ya shaka yeye alikuwa ni mkweli wa ahadi, na alikuwa mtume, nabii.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

allah non manca alla sua promessa, ma la maggior parte degli uomini non sa:

Swahili

mwenyezi mungu havunji ahadi yake. lakini watu wengi hawajui.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

la promessa di allah è veritiera e non ti rendano leggero, coloro che non hanno certezza.

Swahili

hakika ahadi ya mwenyezi mungu ni ya haki. wala wasikupaparishe hao wasio kuwa na yakini.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

quando verrà la promessa del mio signore, sarà ridotta in polvere; e la promessa del mio signore è veridica”.

Swahili

na itapo fika ahadi ya mola wangu mlezi atauvunja vunja. na ahadi ya mola wangu mlezi ni kweli tu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

[perciò] la promessa di allah si è realizzata contro di noi e ne avremo esperienza.

Swahili

basi hukumu ya mola wetu mlezi imekwisha tuthibitikia. hakika bila ya shaka tutaonja tu adhabu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

l'articolo termina con la promessa di aspettarlo fino al paradiso per continuare a raccontare favole alla maniera di sherazad .

Swahili

alimalizia makala yake yake kwa kuahidi kumngojea ahera ili kuendelea na simulizi zake hizi za scheherazade.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,913,969,444 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK