Results for ridurre translation from Italian to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Italian

Swahili

Info

Italian

africa: bisogna ridurre il divario tra ricchi e poveri

Swahili

kupunguza pengo kati ya matajiri na masikini wa bara la afrika

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

quali misure possono essere prese per ridurre queste disuguaglianze?

Swahili

hatua gani zichukuliwe kupunguza hali hii ya kutokuwepo kwa usawa?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

dio ha scelto ciò che nel mondo è ignobile e disprezzato e ciò che è nulla per ridurre a nulla le cose che sono

Swahili

mungu ameyachagua yale ambayo kwa fikira za dunia ni mambo yaliyo duni na yanayodharauliwa, mambo ambayo hata hayakuwako, ili kwa hayo ayafutilie mbali yale ambayo kwa fikira za binadamu ni mambo ya maana.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

i matrimoni collettivi sono diventati molto popolari nella nazione in quanto aiutano a ridurre i costi individuali del matrimonio.

Swahili

harusi za pamoja zimekuwa maarufu nchini humo kwa sababu hupunguza gharama za harusi kwa kila familia ya maarusi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

abbiamo creato questo pc per aiutare a ridurre il digital divide, ma anche per ampliare l'utilizzo dei computer soprattutto nelle scuole.

Swahili

tulibuni kompyuta hii kusaidia kupunguza pengo kati ya walio mtandaoni na wale wasiomudu huduma za kidijitali, lakini pia upanuzi wa matumizi ya kompyuta mashuleni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

se vi pentite, sarà meglio per voi; se invece volgerete le spalle, sappiate che non potrete ridurre allah all'impotenza.

Swahili

basi mkitubu itakuwa kheri kwenu, na mkigeuka basi jueni kuwa nyinyi hamumshindi mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

i professori marko bagaric e lant pritchett sono stati tra i primi studiosi ad aver introdotto ilconcetto di “frontiere aperte” come soluzione per ridurre la povertà mondiale.

Swahili

maprofesa marko bargaric na lant pritchett ni wanazuoni wawili wa kwanza kuwasilisha dhana ya “mipaka iliyo wazi” kama suluhisho la kupunguza umaskini duniani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

eppure, questo va detto, finché la svezia non decise di ridurre i propri contributi al budget mozambicano, molte delle tensioni tra i paesi donatori e il governo locale erano rimaste nascoste al pubblico.

Swahili

hata hivyo, ni sawa kusema kuwa, mpaka sweden ilipoamua kwamba itapunguza msaada wake kwenye bajeti ya msumbiji mwaka jana, misuguano kati ya nchi wafadhili na na serikali inayopokea viliendelea kubaki ndani ya milango iliyofungwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

l'idea di usare le frontiere aperte per ridurre le inuguaglianze sociali nel mondo implica che ridurre la povertà mondiale sarebbe la più grande priorità al mondo, e quindi più importante di altre questioni, come la sicurezza e gli interessi nazionali di ogni paese.

Swahili

dhana hii ya kutumia kufungua mipaka ili kupunguza ukosefu wa usawa kijamii duniani inamaanisha kwamba kupunguza umaskini duniani kungekuwa ndiyo kipaumbele cha juu zaidi duniani. kingekuja kabla ya masuala mengine muhimu kama vile usalama wa taifa na maslahi ya taifa ya nchi yoyote.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

con l'hashtag #pimentavsvinagre i brasiliani stanno protestando su twitter contro l'abuso indiscriminato di spray al peperoncino da parte della polizia e l'utilizzo di bandane bagnate con l'aceto, usate dai manifestanti, per ridurre gli effetti delle irritazioni.

Swahili

watumiaji wa mtandao wa nchini brazil katika mtandao wa twita wanapinga ongezeko la nauli kupitia kiungo ishara #pimentavsvinagre ( pilipili dhidi ya siki). maneno haya yanatokana na udhalilishaji wa polisi wa unyunyizaji wa maji ya kuwasha pamoja na nguo zilizolowanishwa kwa siki au leso ambazo waandamanaji walizitumia kuzuia wasiathiriwe na matumizi ya vitu hivyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,952,149,335 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK