Results for seduti translation from Italian to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Italian

Swahili

Info

Italian

quando se ne stavano seduti accanto,

Swahili

walipo kuwa wamekaa hapo,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

seduti là erano alcuni scribi che pensavano in cuor loro

Swahili

baadhi ya walimu wa sheria waliokuwa wameketi hapo wakawaza mioyoni mwao,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

anche giornalisti inglesi, francesi e giapponesi stanno aspettando seduti.

Swahili

waandishi wa habari kutoka uingereza, ufaransa na japani nao pia wapo wameketi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

se uno di quelli che sono seduti riceve una rivelazione, il primo taccia

Swahili

ikiwa mmoja anaposema mwingine wa wasikilizaji amepata ufunuo kutoka kwa mungu, basi, yule anayesema anyamaze.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

trovò nel tempio gente che vendeva buoi, pecore e colombe, e i cambiavalute seduti al banco

Swahili

hekaluni aliwakuta watu wakiuza ng'ombe, kondoo na njiwa, na wavunja fedha walikuwa wamekaa kwenye meza zao.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

allora i ventiquattro vegliardi seduti sui loro troni al cospetto di dio, si prostrarono faccia a terra e adorarono dio dicendo

Swahili

kisha wale wazee ishirini na wanne walioketi mbele ya mungu katika viti vyao vya enzi, wakaanguka kifudifudi, wakamwabudu mungu,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

poi, dopo l'orazione, ricordatevi di allah, in piedi, seduti o coricati su un fianco.

Swahili

mkisha sali basi mkumbukeni mwenyezi mungu mkisimama, na mkikaa, na mnapo jinyoosha kwa kulala.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

girando lo sguardo su quelli che gli stavano seduti attorno, disse: «ecco mia madre e i miei fratelli

Swahili

hapo akawatazama watu waliokuwa wamemzunguka, akasema, "tazameni! hawa ndio mama yangu na ndugu zangu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Italian

seduti tranquillamente, dissero ai loro fratelli: “se ci avessero obbedito, non sarebbero rimasti uccisi!”.

Swahili

hao ndio walio waambia ndugu zao na wao wenyewe wakakaa kitako: lau wengeli tut'ii wasingeli uliwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

allora gesù prese i pani e, dopo aver reso grazie, li distribuì a quelli che si erano seduti, e lo stesso fece dei pesci, finché ne vollero

Swahili

yesu akaitwaa ile mikate, akamshukuru mungu, akawagawia watu waliokuwa wameketi; akafanya vivyo hivyo na wale samaki, kila mtu akapata kadiri alivyotaka.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

attorno al trono, poi, c'erano ventiquattro seggi e sui seggi stavano seduti ventiquattro vegliardi avvolti in candide vesti con corone d'oro sul capo

Swahili

kulikuwa na duara la viti ishirini na vinne kukizunguka kiti cha enzi, na juu ya viti hivyo wazee ishirini na wanne walikuwa wameketi wamevaa mavazi meupe na taji za dhahabu vichwani.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

gli studenti di una scuola di hindi, nella periferia di mumbai, mangiano seduti per terra senza sedie nè piatti; un altro studente mostra un contenitore e si lamenta della qualità del cibo.

Swahili

wanafunzi wa shule ya kihindi nje kidogo ya mumbai wakipata chakula wakiwa wamekaa chini pasipo kuwa na viti wala bakuli. mwanafunzi mwingine akionesha kibobo chenye chakula cha adhuhuri huku akilalamika kuhusu ubora wa chakula hicho.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

che in piedi, seduti o coricati su un fianco ricordano allah e meditano sulla creazione dei cieli e della terra, [dicendo]: “signore, non hai creato tutto questo invano.

Swahili

ambao humkumbuka mwenyezi mungu wakiwa wima na wakikaa kitako na wakilala, na hufikiri kuumbwa mbingu na ardhi, wakisema: mola wetu mlezi! hukuviumba hivi bure.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,913,794,438 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK