Results for vanto translation from Italian to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Italian

Swahili

Info

Italian

vanto

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Italian

Swahili

Info

Italian

questo è in realtà il mio vanto in gesù cristo di fronte a dio

Swahili

kwa hiyo, nikiwa nimeungana na kristo yesu, naweza kujivunia huduma yangu kwa ajili ya mungu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

ora invece vi vantate nella vostra arroganza; ogni vanto di questo genere è iniquo

Swahili

lakini sasa mwajivuna na kujigamba; majivuno ya namna hiyo ni mabaya.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

ciascuno esamini invece la propria condotta e allora solo in se stesso e non negli altri troverà motivo di vanto

Swahili

lakini kila mmoja na aupime vizuri mwenendo wake mwenyewe. ukiwa mwema, basi, anaweza kuona fahari juu ya alichofanya bila kuwa na sababu ya kujilinganisha na mtu mwingine.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

date dunque a loro la prova del vostro affetto e della legittimità del nostro vanto per voi davanti a tutte le chiese

Swahili

basi, waonyesheni uthabiti wa upendo wenu, makanisa yapate kuona kweli kwamba fahari ninayoona juu yenu ni ya halali.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

infatti neanche gli stessi circoncisi osservano la legge, ma vogliono la vostra circoncisione per trarre vanto dalla vostra carne

Swahili

maana, hao wenyewe waliotahiriwa hawaishiki sheria; huwataka ninyi mtahiriwe wapate kujivunia alama hiyo mwilini mwenu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

non è infatti per me un vanto predicare il vangelo; è un dovere per me: guai a me se non predicassi il vangelo

Swahili

ikiwa ninaihubiri habari njema, hilo si jambo la kujivunia; hilo ni jukumu nililopewa. na, ole wangu kama sitaihubiri habari njema!

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

com'è vero che c'è la verità di cristo in me, nessuno mi toglierà questo vanto in terra di acaia

Swahili

naahidi kwa ule ukweli wa kristo ulio ndani yangu, kwamba hakuna kitakachoweza kunizuia kujivunia jambo hilo popote katika akaya.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

i fratelli poi li ho mandati perché il nostro vanto per voi su questo punto non abbia a dimostrarsi vano, ma siate realmente pronti, come vi dicevo, perch

Swahili

basi, nimewatuma ndugu zetu hao, ili fahari yetu juu yenu ionekane kwamba si maneno matupu, na kwamba mko tayari kabisa na msaada wenu kama nilivyosema.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

conosco infatti bene la vostra buona volontà, e ne faccio vanto con i macèdoni dicendo che l'acaia è pronta fin dallo scorso anno e gia molti sono stati stimolati dal vostro zelo

Swahili

ninajua jinsi mlivyo na moyo wa kusaidia, na nilijivuna juu yenu kuhusu jambo hilo mbele ya watu wa makedonia. niliwaambia: "ndugu zetu wa akaya wako tayari tangu mwaka jana." hivyo, moto wenu umekwisha wahimiza watu wengi zaidi.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Italian

ma io non mi sono avvalso di nessuno di questi diritti, né ve ne scrivo perché ci si regoli in tal modo con me; preferirei piuttosto morire. nessuno mi toglierà questo vanto

Swahili

lakini, mimi sikutumia hata mojawapo ya haki hizo. na wala siandiki nijipatie haki hizo; kwangu mimi ni afadhali kufa kuliko kumfanya yeyote aone kwamba najisifu bure.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

dove sta dunque il vanto? esso è stato escluso! da quale legge? da quella delle opere? no, ma dalla legge della fede

Swahili

basi, tunaweza kujivunia nini? hakuna! kwa nini? je, kwa sababu ya kutimiza sheria? la! bali kwa sababu tunaamini.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,784,430,026 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK