Results for abierunt translation from Latin to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

et abierunt in aliud castellu

Swahili

kwa maana mwana wa mtu hakuja kuyaangamiza maisha ya watu, bali kuyaokoa." wakatoka, wakaenda kijiji kingine.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

abierunt ergo iterum ad semet ipsos discipul

Swahili

basi, hao wanafunzi wakarudi nyumbani.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et ascendentes in navi abierunt in desertum locum seorsu

Swahili

basi, wakaondoka peke yao kwa mashua, wakaenda mahali pa faragha.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

ut ergo dixit eis ego sum abierunt retrorsum et ceciderunt in terra

Swahili

basi, yesu alipowaambia: "mimi ndiye", wakarudi nyuma, wakaanguka chini.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

ex hoc multi discipulorum eius abierunt retro et iam non cum illo ambulaban

Swahili

basi, yesu akawauliza wale kumi na wawili, "je, nanyi pia mwataka kwenda zenu?"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

quidam autem ex ipsis abierunt ad pharisaeos et dixerunt eis quae fecit iesu

Swahili

lakini baadhi yao walikwenda kwa mafarisayo wakatoa taarifa ya jambo hilo alilofanya yesu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

abierunt autem qui missi erant et invenerunt sicut dixit illis stantem pullu

Swahili

basi, wakaenda, wakakuta sawa kama alivyowaambia.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

illi autem abierunt iterum autem exiit circa sextam et nonam horam et fecit similite

Swahili

basi, wakaenda. huyo mwenye shamba akatoka tena mnamo saa sita na saa tisa, akafanya vivyo hivyo.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et abierunt discipuli eius et venerunt in civitatem et invenerunt sicut dixerat illis et praeparaverunt pasch

Swahili

wanafunzi wakaondoka, wakaenda mjini, wakakuta kila kitu sawa kama yesu alivyokuwa amewaambia. wakaandaa karamu ya pasaka.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et ait illis ite at illi exeuntes abierunt in porcos et ecce impetu abiit totus grex per praeceps in mare et mortui sunt in aqui

Swahili

yesu akawaambia, "haya, nendeni." hapo wakawatoka watu hao, wakawaingia nguruwe. kundi lote la nguruwe likaporomoka kwenye ule mteremko mkali, likatumbukia ziwani; nguruwe wote wakafa maji.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

suscipiens autem iesus dixit homo quidam descendebat ab hierusalem in hiericho et incidit in latrones qui etiam despoliaverunt eum et plagis inpositis abierunt semivivo relict

Swahili

yesu akamjibu, "mtu mmoja alikuwa anashuka kutoka yerusalemu kwenda yeriko. alipokuwa njiani, alivamiwa na majambazi, wakamnyang'anya mali yake na kumpiga, wakamwacha amelala pale nusu mfu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,932,562,989 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK