From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
adduxerunt autem puerum viventem et consolati sunt non minim
wale watu walimchukua yule kijana nyumbani akiwa mzima kabisa, wakapata kitulizo kikubwa.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
et adduxerunt eum ad annam primum erat enim socer caiaphae qui erat pontifex anni illiu
na kumpeleka kwanza kwa anasi; anasi alikuwa baba mkwe wa kayafa ambaye alikuwa kuhani mkuu mwaka huo.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
et adduxerunt iesum ad summum sacerdotem et conveniunt omnes sacerdotes et scribae et seniore
basi, wakampeleka yesu kwa kuhani mkuu ambapo makuhani wakuu wote, wazee na walimu wa sheria walikuwa wamekutanika.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
commoverunt itaque plebem et seniores et scribas et concurrentes rapuerunt eum et adduxerunt in conciliu
kwa namna hiyo, waliwachochea watu, wazee na walimu wa sheria. basi, wakamjia stefano, wakamkamata na kumleta mbele ya baraza kuu.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality: